Ijumaa kareem | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ijumaa kareem

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Globu, Jan 20, 2012.

 1. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  A,alaykum. Nawatakia ijumaa njema. Wanajamvi wenzangu wote na Watanzania kwa ujumla. M/MUNGU Atujaalie kila la kheri na mafanikio katika maisha yetu ya duniani na Akhera. Atuondoshee balaa, nuksi na kila baya. AMEEN.
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ustaadh, tafadhari sana unapokuwa msikitini uwe unawakumbusha waislam wenzako umuhimu wa shule ili wakapate maarifa ya kukabiliana na changamoto za hapa duniani
   
 3. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,382
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Ameeen
   
 4. MANI

  MANI Platinum Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,413
  Likes Received: 1,872
  Trophy Points: 280
  Ameen .
   
 5. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  huu ni upumbavu mtu unaacha kazi unawatakia karim watu....hatutaendelea tukiwa na mawazo haya
   
 6. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #6
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Changamoto unayo wewe na wenzangu, pamoja na elimu uliyonayo bado hujatambua tofauti ya ''mtu'' na Mwenyezi Mungu !
   
 7. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Amiin inshaallah.
   
 8. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu,
  Love for All, hatred for none.
  Moja ya silsila za waislamu ni kutakiana kheir kwa ajili ya ibada takatifu ya Jumaa, siku hii huwa ni muhimu sana kwa waislamu ndio maana tunatakiana kheri. Ingalikuwa Tanganyika hii ni above 80% waislamu...Ijumaa ingewekwa kuwa ni siku ya mapumziko kwa utekelezaji wa ibada hii takatifu. Lugha & ukali wa maneno yako...hayapendezi katika jumuiya za kistaarabu na zinazovumiliana.
  Ukitazama wewe mwenyewe umetuma thread-post yako @ 1340hrs ikiwa ni ndani ya masaa ya kazi katika kulitumikia taifa letu hili, JE HUKUTAZAMA KUWA NAWE UMEIBA MUDA MAHSUSI ULIOUPOTEZA HAPA JF NA KUACHA KULITUMIKIA TAIFA KTK KULILETEA MAENDELEO?
   
 9. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  point.
   
 10. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #10
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  kuna watu humu mkuu huwa wanakurupuka tu na kuona wafanyacho wengine ni cha kishenzi ila afanyacho yeye ndicho bora
  huwa nashindwa kuwaelewa watu wa namna hii,kwanini ujione kuwa wewe ni zaidi kuliko mwingine? post yake kaituma wakati wa kazi lakini bado anawatukana wale waliotuma post wakati wa kazi hahahaha du JF inavichwa vya kila aina
   
Loading...