Can 2012 live!!! On startimes channels | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Can 2012 live!!! On startimes channels

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by gango2, Jan 20, 2012.

 1. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,230
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  Kwa mara nyingine tena sie wenyeving'amuzi tutashuhudia kombe la mataifa ya africa live kupitia Startimes chanells

  UBC or KBC.

  heko!!!!!!
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  nenda sport kuna sticky tread ndo uipost sawa..
   
 3. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145

  Hawa wachina wa startimes hawaaminiki kabisa. Uefa champions league walitufanyia uhuni mwaka jana hadi nikaacha kulipia.
  Kila ikikaribia ama kufika siku ya mechi channel zinazoonyesha soka zote zinakuwa ''No Signal''.
   
 4. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,931
  Trophy Points: 280
  napata UBC, KBC, K24 na channel mbili toka Msumbiji kwa kutumia FTA. silipi hata senti moja.
   
 5. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145

  FTA ndo king'amuzi ama nini?
   
 6. w

  white wizard JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Ni channel ambazo si za kulipia.FTA(free to air)ambazo huwa zinapatikana hata kwenye madish haya ya kawaida tu.
   
Loading...