Channel Ten na Habari za KENYA,badala ya Habari za Afrika ya Mashariki

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Mara nyingi napoangalia taarifa ya Habari huwa nashangazwa,kinachonishangaza ni pale wanapotangaza habari za A.mashariki,mi huwa naona wanatangaza yanayojiri Kenya tu,lakini Uganda,BURUNDI,NA RWANDA huwa hakuna habari,
Ushauri:chanel ten,mwaweza kufuta kipengele cha habari za A.mash au mseme zile ni habari za Kenya
 
Back
Top Bottom