Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

INASIKITISHA SANA “Tears keep falling…” In the morning September 11, 2001, two hijacked passenger jets crashed into the Twin Towers of the World Trade Center in New York City. This was no...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hi
Say something about your culture
0 Reactions
1 Replies
657 Views
Tanzania ya Watanganyika ipo hoi kwa kila kitu,Mfumko wa bei unazidi kupaa kama vile hatuna wasomi waliobobea masuala ya UCHUMI? wapi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi haya mabango ya waganga wa kienyeji kwenye nguzo za umeme na simu ynalipiwa kodi kwenye halmashauri/manispaa husika? Yamezidi na yanachafua miji. Hakuna sheria kudhibiti hii hali?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Waungwana WanaJF, naomba kuuliza ni vigezo gani vinavyoangaliwa kwa mtu aliyefariki anastahili kuagwa pale Karimjee kitaifa na kufunikwa bendera ya taifa.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Thobias Andengenye Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Edmund Rice, John Justine (17) mkazi wa Makao Mapya, ambaye anasubiria matokeo ya mtihani wa kidato cha nne...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ulysse Nardin’s The Chairman – up to $49,500The Chairman by Ulysse Nardin is the world’s most expensive Android smartphone, and includes both a touch screen and a physical number pad. The Ulysse...
0 Reactions
19 Replies
12K Views
Wanabodi Baada ya kumpumzisha mpendwa wetu, Regia sasa hatupeani pole tena bali sasa tunafanya reflections za baadhi ya legacy Regia aliotuachia na lessons ambazo tumezipata kwenye msiba huu...
4 Reactions
425 Replies
29K Views
Nawasalimu wakuu! Wana jamvi naomba tusaidiane mawazo na tuelimishane kuhusu huu mjadala, kipi ni kipi, kiongozi ni mwakilishi, mwakilishi ni kiongozi au yote majibu/si majibu? Ili kupata...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
A suburban Chicago man accidentally shot a 3.25in (8.25cm) nail into his skull but is recovering after doctors successfully removed it from the centre of his brain. Dante Autullo, 34, was in...
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Mambo vp waungwana?nimekutana na fom ya kujaza toka NMB.KUNA sehemu imeandikwa hivi Customer Signatures-(For Joint Accounts)per Mandates held by the BANK. Full Names...... Title...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Napenda tujuane,tusaidie kijiji chetu
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Baadhi ya viongozi wa juu wa CCM kwa kutoelewa au kwa makusudi na chuki binafsi waliendesha zengwe la kuwashambulia na kuwabatiza wenzao Mapacha watatu na kuwafanya kuonekana kama ndio wamefanya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimeshindwa kufahamu kama hii taaluma ya habari nayo imevamiwa awali nilifahamu kuwa mhimili huu wa habari kama ambavo binafsi napenda kuutambua uanaowadau waliobobea katika taaluma zao lakini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwahiyo izaa ya kiswahili ya japan itasikika tbc fm katika baadhi ya vipindi
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tanzania ya Watanganyika ipo hoi kwa kila kitu,Mfumko wa bei unazidi kupaa kama vile hatuna wasomi waliobobea masuala ya UCHUMI? wapi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mbunge wa nzega amewataka madaktari kugoma na kuwasisitza kuwa huu ndo wakati muafaka kwao kugoma,maama MAT ndo asasi ya juu kwao,amesema kuwa kama wakilegeza msimamo leo,basi itawachukua miaka...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Baada ya mwendo wa saa moja kwa gari tumefika Mererani eneo kitongoji maarufu cha Cairo ambako John Justin NDossi atapumzishwa milele. Itakumbukwa marehemu alijipiga risasi kifuani nyumbani kwao...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Jana tumeona maandamano ya wanafunzi wa Kiislamu lakini hatujasikia taarifa za Kiintelinjensia zikidai kwamba kuna tishio la Al Shabaab. Hivi tishio hili limeisha au linajitokeza pale tu...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Wana Jf,baada ya VYAMA VYA SIASA(CCM,CDM,NCCR,CUF) kutupima viatu 2010,mda si mrefu (2015) vitarudi tena na kutuuliza swali "hivi wana JF mlikuwa mnataka viatu vya SAIZI gani vile?“ kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom