Hali ngumu ya maisha: Kwanini watanzania ni watamu ktk kuongea lakini kutenda waoga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali ngumu ya maisha: Kwanini watanzania ni watamu ktk kuongea lakini kutenda waoga?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yonjolo, Jan 21, 2012.

 1. Yonjolo

  Yonjolo Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amani iwe kwenu wana Jf wote.
  Kilio changu leo nakirudisha kwetu wenyewe watz kuhusiana na hali ya maisha yetu kuzidi kuwa mbaya.
  Tukiangalia swala la umeme lipo wazi hakuna mtanzania anayepata nafuu, sasa tumekuwa watamu ktk kuongea pembeni huku tukiacha kuchukua hatua

  Kama tumeweza kuwapa ajira hawa watendaji tunashindwaje kushikamana na kuwafukuza?

  Nakipa big up sana chama cha NCCR maana ingawa mi sio mshirika wake lakini nilikwenda kuungana nao katika maandamano yao ya kupinga kuongezeka kwa gharama za umeme. Nigeria wanaingia siku ya tatu ktk maandamano ya amani kupinga ruzuku ya mafuta kwa serikali.

  Hili jambo si la KICHAMA, UDINI WALA LA KIKABILA bali ni la UTANZANIA NA UZALENDO.

  TUKITHUBUTU TUSHINDWA?

  nawasilisha
   
Loading...