Serikali Haiwajibiki, Maziwa ya Watoto S 26 Wanatengenezea Hapo Manzese | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali Haiwajibiki, Maziwa ya Watoto S 26 Wanatengenezea Hapo Manzese

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ibange, Jan 20, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nchi yetu haina vita vya mtutu lakini udhaifu wa serikali unaifanya nchi inakuwa si salama na madhara wananchi wanayopata hayana tofauti na vita vya mtutu tu. huwezi amini, maziwa ya watoto yanatengenezwa na matajiri hapo Manzese, wanaweka unga wa muhogo na vitu vingine, wana park wanakuuzia elfu 20. uchunguzi wangu unaonyesha TFDA wanajua, polisi wanajua, viongozi wanajua lakini wakishapokea fungu lao wanakaa kimya, kwani hata mtoto wako akifa wana hasara gani? Madawa mengi madukani fake, kila kitu fake. Jamani tufanyeje kama serikali imeshindwa kufanya kazi at the expense ya wananchi? Najuta kuzaliwa Tz
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Huu ni uwongo sijui Lengo lako ! Nimenunua maziwa hayo mlimani City ! Ninakuhakikishia ni original! Unga wa muhogo uko tofauti
   
 3. i

  ibange JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Watanzania bwana, nidanganye ili iweje? Kukiwa na maziwa fake kwenye mzunguko haina maana kuwa yote ni fake. Of course maduka makubwa kama shoprite ambao wanaagiza wenyewe si rahisi wanunue manzese. Mimi nimenunua maziwa mara nyingi yakawa yana povu sana, kufanya uchunguzi nikaambiwa na wafanyabiashara wenyewe kuwa ni fake na yanatengenezwa hapo manzese. Chukueni tahadhari, ukipuuza mimi nitapata hasara gani?
   
 4. i

  ibange JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Serikali ilikiri dawa za malaria zinatengenezwa fake hapa na wakapiga marufuku baadhi ya dawa ili kudhibiti dawa fake. kama watu wanaweza kutengeneza vidonge fake maziwa watashindwa?
   
 5. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,068
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  hata dawa ya mbu ya rungu inatengenezwa pale mwananyamala.
   
 6. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Mkuu tahadhari muhimu! Mdau ametoa angalizo kuwa tuwe makini yapo fake. Kama ulinunua yako poa sawa ila ukipita maduka ya mitaani uwe makini yapo fake.
   
 7. i

  ibange JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Baadhi ya Watz wanapenda sana njia za mkato kujipatia utajiri. Ndio maana watu wanaenda mlingotini
   
 8. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #8
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Mkuu chochote chaweza kufanyika. Hukumbuki kuna wakati haya maziwa yalipigwa marufuku? Manzese ni industrial area. mkuu kwa taarifa yako tu maji ya chupa unapata, pombe kali kipo kiwanda, hata tomato sause hujasikia wewe? Tanzania tuna viwanda vingi tu tatizo haviko regulated. Juzi hijasikia BBC qakisema kuna madawa fake ya malaria; badala y dawa wewe unajidunga unga wa mhogo ukidhani ni mseto/metakelfin. Tanzania tunakufa kwa mengi mkuu
   
 9. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  ni bia peke yake ndio imeshindikana kutengenezwa mtaani
   
 10. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #10
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Mimi tangia nipo mdogo nilikuwa naiamini expel. Dawa hii ilikuwa kiboko ya wadudu lakini siku hizi zipo fake unampulizia mbu anakucheka tu na kukung'ong'a! Kuulizia vijana wakasema expel zipo fake mitaa ya kati. Nikachoka. Vitu vingi fake siyo bandia yaani fake kwamba inakuta ni unga wa dona kabisa ndani ya ampicilin wewe unameza huponi mwisho unajihisi!
   
 11. rweyy

  rweyy Senior Member

  #11
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  lazima mjue tz tuna matatizo matatu sugu ukimwi.rushwa na vitu feki sijui yataisha vipi kama serikali yenyewe imeshindwa swala la noti mbili sembuse maziwa leo hii tz hakuna kitu ambacho kinauzwa dukani akina feki yake mfano jojo.gillete.mafuta ya kujipaka vifaa vya umeme ndo usiseme. simu.mi hicho ndo kinafanya nichukie serikali yetu
   
 12. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kaka bongo kila kitu fake hata rais ni fake kwani original slaa
   
 13. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #13
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  tumekupata mkuu...manzese kubwa.
   
 14. i

  ibange JF-Expert Member

  #14
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hahahaaaaaaaaaaaa
   
Loading...