Poleni wana arumeru na wana ifakara hizi ni fikra zangu tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Poleni wana arumeru na wana ifakara hizi ni fikra zangu tu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jenseny, Jan 20, 2012.

 1. Jenseny

  Jenseny JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 1,041
  Likes Received: 486
  Trophy Points: 180
  Nilipokea na nilsikitika niliposikia kifo cha Mbunge kijana Bi Regia Mtema sikusikitika sana juu ua kifo cha Msumari kwa sababu simjui pia amekula chumvi nyingi sana namwombea tu apumzike kwa amani NINACHOTAKA KUWAOMBA NDUGU ZANGU WA ARUSHA HASA VIJANA ZOEZI LA UCHAGUZI LIKIFANYIKA MSIFANYE MAKOSA TENA CHAGUENI KIONGOZI BORA MSIANGALIE MASLAHI YA MUDA MEAN KOFIA NA KANGA ZA KIJANI NA NJANO
   
 2. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona unapoint kaka?umewaza swaf kabsa,wa2 kamat wewe n muhmu sana katka nch hh
  UMENFURAISHA XANA
   
 3. S

  Schofild JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kuna mtu huku Meru anaitwa NASARI alikuwa mbunge ambaye hana mshahara wala posho now anakuwa mbunge halali kupitia CDM.
   
Loading...