BORA KUFA na FIKRA HAI kuliko kuishi na FIKRA mfu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BORA KUFA na FIKRA HAI kuliko kuishi na FIKRA mfu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mgeni wenu, Jan 21, 2012.

 1. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Hii kauli nimeamua kuisema kutokana na michango ya viongozi mbalimbali hapa duniani ambao wamekufa na kauli zao bado zipo hai,na pia viongozi hai ambao kauli zao ni za kuua Mataifa yao na zisizo na msaada ila kejeli,kiburi na utani wenye dharau...
  Nawasilisha
   
 2. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  Hayo maneno ni ya Rais mmoja huko Marekani. Ambaye alipata kuwa maarufu sana hata leo.
   
 3. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  hata Martin Luther king jr, aliwahi kusema, bora kufa ukiwa huru, kuliko kuishi ukiwa mtumwa. na kaburi lake hadi leo limwekwa ujumbe FREE AT LAST
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Haya maneno yana hamasa flani ndani yake endapo utayatafakari kwa kina. Yafaa nasi waTz tuhamasike ktk kujikomboa toka kwa mkoloni mweusi
   
 5. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Bora kufa nimesimama kuliko kuishi nimepiga Magoti
   
Loading...