Mnaonaje wadau ofice ikiwa na kitu hiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnaonaje wadau ofice ikiwa na kitu hiki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mchambuzixx, Jan 27, 2012.

 1. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  hapa ndo kazi zitafanyika vizuri na kwa wale wa dsm na foleni hizi wa2 tutakuwa tunarudi majumbani saa3 ili kukwepa foleni

  kes.jpg
   
 2. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hata mashuleni pia itasaidia sana hasa ktk lugha hii ngeni!lol
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ndetichia like this
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hapo hakuna laziada zaidi ya kufanyakazi kwa ufanisi wa hali ya juu..
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Na theater pia,na kwa wajenzi wa maghorofa zege itakimbizwa fasta.
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hii inaonyesha kuwa nchi hii ni ya walevi
   
 7. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  naunga mkono hoja!!!
   
 8. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  bora iwe nchi ya walevi ukianza kufikiria matatizo ya nchi hii na mambo wanayofanya viongozi we2 na uwoga wa watanzania unaweza ukaua mtu bureee bora upate ki2 roho inapenda
   
 9. Mganga wa Jadi

  Mganga wa Jadi JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Usisahau kuweka na Labor ward......
   
 10. Ndetirima

  Ndetirima JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 60
  Siungi mkono hata kidogo. Mungu Baba nakuomba utupe nguvu za kuyashinda haya majaribu yanayotolewa hapa jamvini kama hili la sasa, utusaidie hata tukiona picha tu ya hiyo chupa tupate kichefuchefu na maoni yote yawe kwa ajili ya utukufu wako, Ameni
   
 11. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kiingereza kitatawala ofisi!
   
 12. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Amen to this!!!
   
 13. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  haswaaaaaaaaaaa, na hakuna atakae kataaa
   
Loading...