Hivi jaman vijana tunaipeleka wapi jamii yetu

Meme.com

Member
Dec 24, 2011
23
0
Inasikitisha sana pale napopita kila kona ya mtaa na kukuta vijana hutumia lugha ya matus kuwasiliana! Kwa jamii ya leo maneno kama mse**e na ku** ma** na kawaida sana sasa je nayenyewe yataingizwa na kutumiwa kama kiswahili fasaha?? Huwa inauma sana kijana unapomtukana mama yako bila sababu na naweka waz hi na laana ambayo n vigumu kufutika! Hii n changamoto 2badilikeni.
 
Back
Top Bottom