Eti mponda,nkya, nyoni, mutasiwa na ghasia watumwa na pm kuwasikiliza madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti mponda,nkya, nyoni, mutasiwa na ghasia watumwa na pm kuwasikiliza madaktari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SirBonge, Jan 27, 2012.

 1. S

  SirBonge JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 349
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 60
  Ujumbe wa hao hatu sasa wako Starlight kuwasikiliza madaktari kero zao!!

  ****
  -Wao si waliombwa wawatatulie hizo kero mwanzoni wakawakwepa?
  -Katika maazimio ya Madaktari, mojawapo ni wao waachie ngazi, je wataitatua je hiyo?
   
 2. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hapa naona dalili za watu kupopomolewa na viatu.
   
 3. h

  herimimi Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaani baada ya watu kufa ndo wanaamka? viongozi wetu mbona waoga hivo, wanashindwa kwenda kuongea na madaktari! hivi tukigoma watumishi wa umma nchi nzima itakuwaje? du!
   
 4. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  hatupigi watu mawe au viatu. Wamekataliwa kuongea,ghasia amekosa la kueleza kwa sababu hana majibu. Wameishia kuyaacha yaleyale waliyoongea na vyombo vya habari jana. Wamepewa ujumbe waufikishe kwa waziri mkuu atoe majibu. Vikao vinaendelea na huduma za dharura zitaangaliwa upya. Kumbu suala lilikuwa intern wa muhimbili wakatuambia hata wakigoma wataleta madaktari kutoka egypt na kejeli zingine kwenye vyombo vya habari. Dont play with watu ambao wako qualified na shule zao,wasiohitaji kujipendekeza kwa viongozi.
   
 5. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  watajuta kutudharau....yaani wangetusikiliza mwanzoooooni tusingefikia uamuzi huu
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Komaeni nao mpaka wajue kuwa hii nchi si yao peke yao, sisi tushapoteza ndugu zetu tunauchungu nao sana
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Na ni kwanini pinda asiongee nao anaogopa nini km na yeye si mnafiki?
   
 8. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,091
  Likes Received: 10,449
  Trophy Points: 280
  kwanini msingewafukuza? agrrrrrrrrhhhh!!!!
   
 9. A

  ADAMSON Senior Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msigeuke nyuma kwani mtageuka mawe ya chumvi!
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  vyombo vya hbr lyk Habari leo wangeandika kinyume
  wangesema
  'MADAKTARI WADHAMIRIA KUUA'
   
 11. A

  ADAMSON Senior Member

  #11
  Jan 27, 2012
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  AAAAA Pinda tena mbona anasifa kuu tatu za mnafki

  1.Akiongea anaongea uongo (Alilidanganya Bunge na Wananch kuhusu Mauaji ya Arusha)

  2.Akiaminiwa lazima afanye hiyana (Uteuzi wake ulifananishwa na Uteuzi wa Sokoine Akatusaliti kwa kuutetea ufisadi)

  3.Akitoa ahadi ni muhali kuitimiza (aliahidi kukutana na madaktari jana hakutimiza akajifungia ofuisini kwake)

  Si mtoto wa Mkuliwa ameasiliwa na Mafisadi na sasaamekua ni Kijana wao
   
Loading...