Kwa anayejua namna ya kuomba exemption kwa halmashauli unapoingiza gari. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa anayejua namna ya kuomba exemption kwa halmashauli unapoingiza gari.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Vitalino mlelwa, Jan 27, 2012.

 1. V

  Vitalino mlelwa Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mi ni mwajiriwa wa halmashauli nahitaji kuingiza gari hivo naomba kujua namna ya kupata punguzo la kodi TRA kwa watumishi wa selikari
   
 2. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Lazima ukue registerd na uwe na sababu ya kupata vat exemption hawatoi tu kama karatasi mkuu.
   
 3. MANI

  MANI Platinum Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,413
  Likes Received: 1,872
  Trophy Points: 280
  Hapana mkuu usimkatishe tamaa mwenzio, anzia kwa ofisa utumishi wako ataandika barua ya utambulisho nenda navyo TRA (CUSTOMS) kwenye ofisi ya kamishina kuna kitengo kipo pale watakupa fomu. Lakini lazima uwe na hiyo barua ya mwajiri,salaryslip pamoja na documents za kuthibitisha kuw aumenunua hilo gari i.e invoicena bill of lading.
   
Loading...