Uhamiaji airport wanapitisha watu kama njugu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhamiaji airport wanapitisha watu kama njugu!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Aug 28, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,631
  Trophy Points: 280
  Pengine gazeti la leo limetoa tu karobo kamchezo kanaonyika pale airport
  ni kweli nimesoma nipashe kuna michezo michafu ambayo inahusishwa na wkubwa wa uhamiaji ambao huleta vibali feki na watu wawili ama watatu kuingia ndani kuanza kukusanya waliowaleta na kwenda kuonana na incharge wa uhamiaji ambae nae anakuwa amepewa maagizo kama si kukatiwa kabahasha ka jairo na baada ya hapo wale dagaa huamua nao kukomaa kudai ka doller mia mia na mwisho wa mchezo huishia hapo nje watu kupeana champagne na wengine wakitoka hutoa vibomu vya wine kwenye shati zao kutoaminikama wameingia tanzania

  nahisi hii nchi imekosa uadilifu kila sehemu mungu atusaidie sana sana..wachi wana kundi lao wakija wanaingia moja kwa moja na kuongea na ma incharge na kuwakatia autashangaa mchina anaongea kiswahili kama anaishi tandale sio hao juzi kundi la wapalestina 15 wameingizwa wakisaidiwa na mkuu wa kazi mmoja ambae aliingia kwanza kabla awajatua ...na sio hivyo anakamemo kutoka kwa wakubwa wa nchi unaowajua nia hatari sana sana kuuza nchi kiasi hiki inatia aibu sana maofisa wanauza watu na mbaya kama mmesoma nipashe kumbe wanaokuja kuwatoa airport hulipwa million kumi kumi kila kichwa jiulize wamepitisha vichwa vingapi mpaka sasa???
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nimeisoma hiyo stori,,,,,hiyo biashara ni ya muda mrefu sana pdidy,si hao tu,wahindi na wasomali weeengi wanakuja na stail hii pamoja na waarabu ambao wanafanyakazi kwenye makampun ya mafuta kama vile OIL COM
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Usalama wa taifa wapo wapi?
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,631
  Trophy Points: 280
  sassa KWA MAISHA HAYA NA USHENZI HUUU KWA NINI ROSTAM ASIINGIE BOT KUJICHOTEA NASEMA MWACHENI BABA WA WATU MWACHENI KABISA TENA MKOME NAKWAMBIA PALE UHAMIAJI AIRPORT WATOTO WANAKUJA NA MABASI MIEZI SITA WANAANZA KUULIZIA WEBSITE ZA KUNUNUA MAGARI UTASEMA WAMEKUTANA NA MADADALALI..YAANI WE ACHA TU WALE LAKINI SIO KUTUINGIZIA WAHUNI BADO WANALIPA NIMESOAM NTAIWEKA HAPA LIVEKESHO HERUFI KWA HERUFI...PALE AIRPORT KUNA JIABABA LINAITWA CHACHA YAANI LIKISIKIA ISSUE ZA MGENI MIGUU INASISIMUKA MBAYA ZAIIDI HANA UWELEANO MZURI NA WENZIO AMEKUWA AKIWAZIKA ANAWAINGIZA JAMAA NDANI WAKIMKATIA ANAKUWA KIMYA KAMA AMEFIWA[
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,631
  Trophy Points: 280
  hao si mamilionea sikuhizi wamgeuka ma escorter wa wauza unga mpaka kwenye mlango wa ndege yaani kila sehemu mashetwani watupu
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  wapo makumbusho
   
 7. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Wako kwa akina Nanyaro et al.,
   
 8. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa najiuliza kila siku hawa vijana wa UWT na migration kwanini wanamatanuzi ya kifa mtu wakati ni watumishi wa kawaida wa serikali?, sijui hii likizo ya serikali itaisha lini. Nadhani mpaka iishe hawa wageni watakuwa wameshapewa vyeti vya kuzaliwa kuwa wamezaliwa msoga au kibaoni kule katavi. JK na Kayanza, tuooneeni huruma sisi wanyonge.
   
 9. K

  Kampemba Member

  #9
  Aug 28, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utafiti mdogo sana Entry Point zote ambazo ni class A na B hakuna Mtu ama mfanya kazi ambaye hana mahusiano na wanao julikana Makamishana wa uhamiaji,Ama ni watoto wao au ndugu zao.Tazama KIA,Namanga,Tunduma,Kasumulo,ZIA,Sirali,Mtukula na mikoa yote ambayo ni active kwa shughuli za Kiuhamiaji lazima kutakuwa na watoto wao ama wandugu zao,Sasa kuna nini huko kama hakuna uharifu unafanyika wa ubadhilifu ndio maaana kila mwenye mtoto ama jamaa hupendelea wakafanye kazi vituo hivyo,Kuna Mikoa kama Singida,Tabora,Mtwara,Rukwa,Ruvuma,Dodoma hii imetengwa kama Mikoa ya adhabu kwa Maafisa uhamiaji pindi wanapo haribu kwenye mikoa mingine,Mfano Maafisa Uhamiaji walio hamishwa Mkoani Arusha mwishoni mwa mwaka jana kwa tuhuma za kutoa vibari feki wote 16 wamesambazwa mikoa ya kusini,Sidhani kama ndio ufumbuzi wa tatizo.Kwa mtazamo wangu nadhani kunatatizo la mfumo hasa ajira na aina ya watu wanaoajiriwa na Idara hii nyeti kwa mustakbali wa Taifa hili.Bilakuwepo juhudi ya ziada kuitazama upya Idara hii kuna hatari ya kuwepo raia wengi wakigeni ambao hawana tija kwa Taifa na kupelekea machafuko ya siyo yalazima kwa kuendekeza Rushwa na kuwalinda watoto ama ndugu zao walio wajaza sehemu zote nyeti ambazo ndio hupatikana makusanyo makubwa kupitia malipo ya Visa ha hati zingine ambazo nyingi hulipwa kwa Dolla.(Tafakali chukua hatua tunaangamia)
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kuna siku nimeenda oilcom kujaza wese yule jamaa hajui kabisa kiswahili zaidi ya kusaidiwa na wenziwe!
  Naona kwa kipindi iki cha serikali legelege naona idadi ya watanzania italuka sana
   
 11. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,197
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kuna wengine wanapitishiwa pale bandari kwenda Comoro,
  Wengi wao ni raia wa Congo na wanakuwa hawana hata vibali vya kuingia nchini
  Jamaa wa UHAMIAJIe wana Njaa ya Kufa mtu hawana tofauti na Trafiki wa Barabarani
   
 12. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,567
  Trophy Points: 280
  Mkuu kuna ofisi niliingia finance ina wahasibu 10 kati yao wabongo 2 hao 8 wahindi! Nasikia siku hizi wanasoma vi program flan huko india vya IT then wakija wanajiita ni IT Accountant specialist(wengine ERP Accountant!) uhamiaji wanatoa vibali while kazi zao ni pure uhasibu.uhamiaji wanahongwa mno mpaka tumechoka! ajira hakuna wageni wamejaa hasa hawa Wadosi!
   
 13. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,567
  Trophy Points: 280
  Waziri kivuli wa mambo ya ndani Mh Lema tunaomba pia ufatilie hili la uhamiaji na wahamiaji haramu.
   
 14. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Kazi kweli kweli wale wahindi wa BRAC walikuwa wanahonga sh 300,000 kwa kibali kimoja. Hiyo ilkuwa ni mwaka 2008............................matokeo yake kila branch ya BRAC nchini (over 200) kuna wahindi 2. Watz wangapi wamekosa kazi?. Halafu mtu anasema hajui kwanini TZ ni maskini?. Nadharia ya Multplier effect haileweki kabisa hapa. Obama kila hotuba anazungumizia ajira kwa wamarekani, unafikiri ni mjinga. Raia wako wengi wakiwa na ajira ni njia ya haraka sana ya kuboresha maisha ya nchi. Watu 1000 wakipata ajira mpya multiplier effect yake ni kubwa sana kwa uchumi wa ndani wa eneo husika na nchi (local economy)
   
 15. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,567
  Trophy Points: 280
  Napandwa hasira hali ilivyo tena kuna wakubwa wa serikalini ambao ni wafanyabiashara pia wanashiriki kuingia watu wengi kutokea Asia! Inatisha wakuu nasisitiza inatisha hautapita muda vijana asilimia 90 wanaomaliza vyuo watakuwa hawapati ajira! TISS sawa mafisadi wamewaweka mfukoni lakini ina maana uzalendo umekufa kwa kiwango hiki? Fanyeni operation maofisini muone hali halisi inatisha!
   
 16. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Wamekuwa usalama wa siasa! Mungu mwishowe atachoka kutubeba na ujinga wetu Tanzania.
   
 17. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #17
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Leo mida ya saa saba mchana tumeona Minbus coaster imejaza vijana wenye asili ya Pakistan/India/Bangladesh maeneo Mwalimu House Ilala, kijana tuliyekuwa naye pale kituo cha Mafuta akasema hao wote hawana hata vibali vya kuwepo nchini na akasema wanafanya kazi kiwanda kimoja kipo maeneo ya Tabata Relini kuelekea Ubungo
   
Loading...