Utalii wa ndani Mikumi, ushauri

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,402
3,242
Wadau pamoja na kuwa kunasehemu za kwenda kupata taarifa na gharama za kutembelea Mikumi national park lakini naomba kupitia jukwaa hili mwenye experience ya huko naomba animegee data kidogo nipate picha kama ntaweza kumudu.

Wiki ijayo nachukua likizo ya wiki moja nataka angalau kufanya kitu tofauti kwa kwenda MIkumi kama mtalii wa ndani.
Plan yangu ni kwenda na mke wangu na watoto wawili, miaka 4 na mmoja, ntakuwa na usafiri wangu binafsi.
Je inaweza kuni cost how much kwenda na kuspend three days huko huko Mikumi? Cost kama rooms, misosi, kiingilio na menginr nisiyoyajua.
 
Back
Top Bottom