naomba ushauri,,Kanisani kwetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naomba ushauri,,Kanisani kwetu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Delegate, Jan 27, 2012.

 1. Delegate

  Delegate JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 35
  tunalipia jengo kwa mwezi shs mil3,sasa mzee wa kanisa ametangaza tutowe sadaka kubwa ili waweze kulipia jengo kila mwezi,tuna kiwanja lakini ujenzi bado,je kwenda kusali kwenye uwanja wetu na kuokoa hizo hela ni idea nzuri??nataka nitoe huo ushauri kwa uongozi wa kanisa,
  jambo jingine mchungaji wetu amenunua range rover mpya,,sasa ametangaza atatuombea wote tununue magari mapya,,sijapenda hiyo,nimejiunga hapa siku chache zilizopita,sihitaji gari ila nahitaji kumjua mungu na kuokoka,mambo mengi yananivunja moyo,sijui niendelee kusali pale au niache????
   
 2. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mchungaji wako anaitwa mchuungaji nani?? Tumfanyie maombi special?
   
 3. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mkuu nadoubt kama wewe ni mkristo kweli!! inawezekana unataka kuiaminisha jamii kuwa wachungaji wananyonya waumini mpaka wawamalizie kila kitu, kama hili ni kweli basi ufanyalo si jema na halina nia njema kwa ukristu, ila tu nikuambie kuwa "kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji"...nataka kusema nini hapa!!...ni kwamba watu bado wataendelea kwenda makanisani hata ukibandika picha kuwa mchungaji wao huyo ana vimada au amekamatwa ugoni, sana sana watahama kanisa, kwa kuwa kanisa sio mchungaji wala jengo, kanisa ni watu wenyewe na kristu kati yao... huu ni mtazamo wangu namna moja.

  mtazamo namba mbili ni kuwa inawezekana usemayo ni kweli!! na kama ni kweli basi huyo mchungaji wako ni tapeli na nabii wa uwongo... walitabiriwa kuja hao na bwana yesu kristu, so sisi wengine hatushangai hata, so kwa kuwa umeona alama za nyakati juu ya hilo, huna haja ya kungángánia kanisa hilo... hama tafuta mahali unapoweze kuabudu bila kadhia unayopata sasa, si lazima uendelee kuwa hapo, labda kama una maslahi napo binafsi....
   
 4. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 180
  mkukuta au mkukubi yote ni mikakati
   
 5. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  kasali hacha propaganda kanisa sio siasa,kama unaona u msafi mbele ya mwenyezi mungu hadi una mdoubt huyo mchunganji nenda kajifungie chumbuni ujiombee
   
 6. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nendeni kwenye huo uwanja wenu,tafuten maturubai wekeni hapo muanze kwa mtindo huo huku mkijipanga kujenga
   
 7. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu umetoa ushauri mzuri sana,naomba nikuulize kama ungekuwa wewe ungefanyeje?yaani unaonaje mtu kujiunga kanisani halafu aombewe ili anunue gari,lakini yule mtu labda amelemewa na dhambi au anataka kubadilisha maisha yake kwa hiyo anamwitaji mungu peke yake na sio gari!lakini kama ni wewe na kama hii story ni kweli ungefanyeje??na kama ni kuhama makanisa utahama mangapi?
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Haya makanisa na wachungaji wa siku hizi wanaojilimbikizia mali wananitia mashaka sana
   
 9. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  nakupata mkuu, kama ningalikuwa mimi basi kwanza ningelijaribu kupeleleza kwa majirani na watu wengine ( iwe makazini au popote pale) wenye imani inayofanan na yangu, kuona wenzangu huko wanaposali kukoje, ikiwezekana pia ningelipata nafasi ningekwenda kuhudhuria ibada mara moja au mbili katika sehemu ninazoambiwa kuwa kuna watu wa imani yangu!!

  naamini kwa kutumia kuhudhuria huku nitapata kujua nini kunaendelea katika makanisa hayo na kufanya maamuzi sahihi... baadaye nitachagua mahali ambapo nadhani pana uwepo wa mungu ki ukweli kwa kutazama mahubiri na maisha ya waumini wake, na hasa hili unalolisema, jinsi wahubiri wanavyowatendea waumini wao, nikiona siku ya kwanza mahubiri yanayoashiria kuwa mchungaji anataka kujitajirisha basi sirudi tena hapo!! ila nikiona uwepo wa mungu kweli basi nitaendelea kwa muda kuchunguza kujua kama uwepo huo ni wa kweli.... na kama nikiridhika basi nitaanza kusali hapo.

  Mimi ni mkristu, na kusema kweli naamini kabisa kuwa sasa wapo wachungaji wa uongo ambao wanatumia kanisa kama mwamvuli wa kujitajirisha, nimewahi kukutana na haya nilipokuwa naishi irnga na ndo mana nasema watu hawa wapo!! i ila ukishawangámua, achana nao na mtafute bwana mahali pa kweli na pa haki..... na ndo mana mungu alitutofautisha na wanyama kwa kutupa utashi ili tuweze kufanya maamuzi sahihi... wapo watumishi wa mungu wateule wa ukweli ambao kama utatumia utashi wako na msaada wa maombi hakika mungu atakuongoza wapi ukaabudu
   
 10. D

  DOMA JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Umetumwa?
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  haya uliyoyaandika hapa ungeenda kuzungumza na mchtwngaji wako.
   
 12. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  unajua ndugu yangu tunapata mashaka sana tunapoona kanisa linathamini mali kuliko hata lile neno la Mungu!kwa kweli inatia hasira kisikia mchungaji anataka kukuombea ili ununue gari,,gari utanunua kwa uwezo wako bana,fanya kazi kwa bidii nunua karandinga lako,hayo mambo ya kuweKa mali mbele kwenye makanisa yetu mimi siafiki kabisa,hivi mimi kama ni mvivu sifanyi kazi kuna haja ya mchungaji kuniombea ninunue gari?>>kwa nini wasinifundishe kufanya kazi ili ninunue gari bana,,ahhh inaudhi sana na kukatisha tamaa,mimi nikiona mchungaji wangu anaweka vitu kama hivyo mbele lazima nihame kanisa,,halafu bana kuna wachungaji siku hizi wanapenda eti kuishi maisha ya strehe sana,yote ya nini ndugu labda hukuitwa kufanya hiyo kazi
   
 13. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
   
 14. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hii ni story ambayo kwanza si ya kweli, halaf huyu jamaa hawezi kua mkristo. Huyu ni wale ma-boko haram ambao kazi yao ni kuuchafua ukristo na watumishi wa Mungu aliye hai.
  Sidhani kama tuna muda wa kumjibu anti christ kama huyu.
   
 15. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #15
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.....hivi wewe uliyeanzisha hii mada inamaana MUNGU ANAPATIKANA KANISANI TUU....huko kwengineko wala mungu hatuoni wala kusikia tukimwomba dua zetu???....

  hao wachungaji yale ni madhabau yao na ni ajira zao..kama vipi unaweza kusalia home na mungu akakuelewa vizuri tuu...Kwani yesu alivyolisha watu elf 5 na kusaza chakula walikuwa kanisani au klimani??...ZINDUKAAAAA
   
 16. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wokovu siku hizi ni wa kununua. Toa pesa acha ubahiri
   
 17. mjombo's

  mjombo's JF-Expert Member

  #17
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kanisa ni madhabahu ambayo ndio patakatifu patakatifu, plus watu so huyo mchungaj wako has no divine commitment to god coz amenunua range wakat hana kanisa, this is evil and he is a ghost not mchungaj as i know
   
Loading...