Mgogoro wakulima na wafugaji Kilosa. Barabara yafungwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgogoro wakulima na wafugaji Kilosa. Barabara yafungwa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ESCO, Jan 27, 2012.

 1. E

  ESCO Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Kama583.jpg Wanajamii. Natoka kilosa mjini kwenda Dumila. Tumefika katikati eneo la Msowero. Magari yamezuiwa na wakulima kupita tangu asubuhi. FFU wapo tayari eneo la tukio. Anasuburiwa Mkuu wa wilaya atoe kauli ya serikali kwani mgogoro ni wa miaka mingi. Jana mkulima mmoja kawawa na wafugaji (Wamasai).
   
Loading...