Tone Radio Tz Online Radio ya Tanzania yaanza matangazo ya majaribio Live | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tone Radio Tz Online Radio ya Tanzania yaanza matangazo ya majaribio Live

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Toneradio, Jan 27, 2012.

 1. T

  Toneradio Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tunapenda kuwapa taarifa wadau wote na wapenzi wa Tone Radio Tz.. Baada ya kukamilisha Tovuti yetu sasa Tumeanza matangazo Rasmi ya majaribio ambayo yatakuwa yanawajia kila siku mpaka hapo tutakapo watangazia Rasmi tumeanza vipindi, Lakini hata Hivyo kwa sasa vipindi vimeanza na watangazaji makini kabisa Taarifa zaidi ya vipindi mtapata kwa tovuti yetu.. Karibuni sana pia ukipata habari hii mpe taarifa na mwengine

  Tovuti yetu ni Tone Radio-Tz Intends To Connect You To The People Of Sub Saharan Africa And Across The World |Tone Radio-Tz Anywhere You re


  Sikiliza Live Bofya hapa: TONE RADIO TZ WWW.TONERADIOTZ.COM  395193_2552621176696_1288898143_31956037_1552352961_n.jpg

  TONE SHOWS... COMING SOON
  409101_237180249689830_195403133867542_562555_389790891_n.jpg
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Bila shaka hii itakuwa Big up sana

  Tupo pamoja FULL TIME ila sijui kama huku kanda ya kaskazini kama itasikika!

  Ngoja tusubirie!
   
 3. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hongereni sana, Tupo pamoja
   
 4. T

  Toneradio Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  bonge la step aisee hongereni..
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
 7. T

  Toneradio Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kimsingi Simu zote mpaka za Kichina bora unaweza kuingia kwa Internet utasikiliza Live Radio pia Hii ni Radio ambayo inasikika kwa Internet pekee hatuna mipaka ni Dunia nzima inasikika.. Pia ukiwa kwa Tovuti yetu utapata kila kitu unacho hitaji hapo ikiwa ni pamoja na habari na burudani zengine kwa wingi
   
 8. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Ni Bomba sana na ni faraja kubwa sana kwa wale tulioko ughaibuni. Anzeni kurusha vipindi mapema tafadhali
   
 9. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Sijui ni wangapi tunakumbuka jina la 'The Pilot', lakini mimi kipindi hicho was just a teenage boy, jamaa alikuwa anasongesha sana. Kiukweli sipati picha leo hii, Sky, Kid na 'The Pilot' ndani ya nyumba, huo mziki wake, mtoto hatumwi dukani!

  Kwa upande wa burudani sina shaka maana squad imekamilika kila idara, ila hapo kwenye news nashauri mfanye kazi kama free media. Tusije siku moja tukasikia kuna fisadi mmoja anawaendesha, mtakuwa mmetuvunja moyo sana. Tunahitaji habari za uhakika na updated.

  Otherwise, nawatakia kila lililo jema. Tuko pamoja waungwana
   
Loading...