Hivi kuna wafanyakazi wa TBC humu ndani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kuna wafanyakazi wa TBC humu ndani??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Jan 27, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  ningependa nijuwe kama wapo,na ningefurahi sana kama ungejibu swali langu,je mnajisikiaje kuendesha TBC ambayo ni mali ya watanzania wote bila kujali itikadi za kisiasa au dini kwa upendeleo???Je mnajisikiaje kupendelea ccm peke YAKE na habari zao na kuwaacha mamilioni ya watanzania wasio wana ccm pembeni??hivi mnaonaje siku ccm ikitoka madarakani je mtaendelea kufanya kazi TBC au mtajiuzulu??kAma mtaendelea kufanya kazi hapo je hamtaona AIBU??????????
   
 2. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  TBC ya Tido Mhando si hii ya huyu mchumia tumbo mkuu! Mimi nadhani siku CCM itakapokufa wataomba ardhi ipasuke!
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  sasa wakuu kwenye settlite hatupati tena ITV,STAR TV,CHANEL 10,,ni TBC PEKE YAKE TUFANYE NINI SASA???
   
 4. MANI

  MANI Platinum Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Mwalimu inaweza kuwa rafiki si unajua lugha za mjini tena !
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Akina nani?
   
 6. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hoja imeingilwa??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
   
 7. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  akina nanihii!!
   
 8. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Ushaliona jibu? Niambie hizo si kashfa!
   
Loading...