Hodi jf''

Umeingia chumba kisichokuwa chenyewe......
Karibu sana kuna chumba cha wageni hapo mbele kidogo nenda ukapate chai...
 
unabisha hodi kabla hujakaribishwa ushaingia ndani!!rudi huko huko huna adabu.
 
Umeingia chumba kisichokuwa chenyewe......
Karibu sana kuna chumba cha wageni hapo mbele kidogo nenda ukapate chai...

Ahsante kwa kumuelekeza kwenye hili jumba kubwa ndio maana wengi wanpotea vyumba !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom