Mtanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sugi, Jan 27, 2012.

 1. s

  sugi JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  hivi ndugu yangu mtanzania!unajisikiaje unapoona na kusikia watanzania wenzako wa hali ya chini wakiendelea kufa hospitalini bila hatia,huku serikali ikizidi kuonesha ubabe kwa madaktari,kitendo ambacho ni sawa kabisa na kuonea watanzania wote wasio na uwezo wa kwenda India kutibiwa!au ndo tunadumisha amani?
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,062
  Likes Received: 10,416
  Trophy Points: 280
  serikali si wanakiburi na wameweka pamba kwenye masikio its ok! lets people die until watakapo zibua masikio na kuacha kiburi.
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ila nach0ona wataongoza mait c watu!
   
 4. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani si huwa wanasema serikali yenu sikivu au porojo?
   
 5. Mromboo

  Mromboo JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 721
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 45
  Acha tufe kwani hata Kenyetta aliwahi kusema enzi za uhai wake kuwa Nyerer anaongoza maiti.Gud. JK yuko picnic kama alivyosema mwana jukwaa mmoja leo. Let them die is what JK, Pinda, Billal and Makinda wants.
   
 6. MANI

  MANI Platinum Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,408
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Tutafanyaje Mkuu na serekali hiyo hiyo inajichanganya mara mgomo hakuna.
   
 7. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Nyie kufeni tu. Sisi mliotuchagua endapo tunaugua, pamoja na familiya zetu tunaenda kutibiwa nje ya nchi.

  Na ndio maana mkuu wa nchi yupo nje ya nchi kubadilisha hali ya hewa na kupumzika kidogo kutokana na kelele zenu kila siku walalahoi.

  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
Loading...