MUHIMBILI HALI YAANZA KUWA MBAYA-shuhuda kutoka hospitali aongea kwa uchungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MUHIMBILI HALI YAANZA KUWA MBAYA-shuhuda kutoka hospitali aongea kwa uchungu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jackbauer, Jan 26, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,909
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  source ni BBC ! watu waanza kupoteza maisha
  mwananchi mmoja anayeitwa bi sikuzani mponda mkazi wa kibaha asikika radioni akiongea kwa uchungu.ahoji "kama serikali inaweza kuwasikiliza wabunge kuhusu posho zao iweje washindwe kukaa na madaktari?
   
 2. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,263
  Likes Received: 856
  Trophy Points: 280
  Nimesikia pia
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,909
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  watawala hawaelewi,kwani kwenda kuongea nao wanaogopa nini?
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Serikali imetia pamba masikioni ktk hili jambo na sisi wananchi tusiojua haki zetu tumetia pamba masikioni pia iliyopo ni kukubaliana na haya yanayotokea kama sivyo tuchukue hatua didhi ya serikali hii katili kwa sisi ndo waajiri wao na wanaposhindwa kutimiza wajibu wao sisi ndo wakuwafukuza kazi
   
 5. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,325
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kujiongezea posho ni ruksa..kukutana na madaktari ni mwiko wanaishia kuita press confress kila siku....ndo viongozi wetu hao tuliowachagua
   
 6. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,117
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Mkwerè ndo kwanza anakula bata uswizi hana habari.
   
 7. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 5,902
  Likes Received: 2,174
  Trophy Points: 280
  Viongozi hawa watashtuka nini ikiwa wana ma-file yao huko india?anaye kufa moi kamwe hawezi kuwa yeye,mtoto wake,wala mume/mke wake,kama ni kelele za wa TZ walishazi zoea, so they got nothing to lose
   
 8. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nami nimeisikia kwa kweli inatia huruma japo kwa kusikia tu lakini Blandina Nyoni hana ndugu yake pale.....
   
 9. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,889
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Hiyo ndiyo Tanzania yetu inayoongozwa na chama chetu kikongwe cha Magamba. Sera yetu kubwa ni Chukua Chako Mapema.
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Jan 26, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,048
  Likes Received: 3,802
  Trophy Points: 280
  Ni muda muafaka sasa kwa wananchi kuchukua hatua.
   
 11. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 845
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Yuko Davos kuomba madakatari wa kigeni kutusaidia.....
   
 12. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #12
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kwani raisi amesharudi?
  Au uswisi kuzuri?
   
 13. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #13
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,531
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  amenisikitisha sana alipoamua kurusha masaburi yake uswisi na ujumbe wa watu wote wale kama vile tz ina pesa nyingi wakati kuna crisis nyumbani...kenge waliomchagua huyu jamaa 2010 kweli wametukomesha watanzania wote.
   
 14. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,496
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  maspecialist wana mpango wa kugoma
   
 15. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #15
  Jan 26, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,640
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  hii nchi nadhani tunahitaji kuongozwa na Military Police
   
 16. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #16
  Jan 26, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,606
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  free masons at work!!
   
 17. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #17
  Jan 26, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,606
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  waliiba kura mura!!
   
 18. m

  mtamba Member

  #18
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Tuweke kambi uwanja wandege ili akija asiweze kutua tumpeke uhamishoni hata somalia inamfaa
   
 19. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #19
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,044
  Likes Received: 399
  Trophy Points: 180
  Halafu hamtaki kuandamana, ngoja ndugu wa karibu wakose huduma au kupoteza maisha ndio mtafungua macho
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Wagonjwa wote watapelekwa India!
   
Loading...