Msitoe michango ya twiga kwa tff;waibiwa million 2 za pesa za wabunge frm 1o million | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msitoe michango ya twiga kwa tff;waibiwa million 2 za pesa za wabunge frm 1o million

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 28, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,692
  Trophy Points: 280
  Hii ni aibu jamani jamani
  nimesoam gazeti natoa machozi tff wamewaka million 2 timu ya taifa ya wanawake
  kutoka million 10 walizopewa na wabunge...wakiongea kwa uchungu wachezaji hao ambao wamieshia
  kupewa lakimoja moja tu wamesema huu uhuni ndio tusiotaka na kama awaamini waache waone miujiza kesho
  atutaki upumbavu kabisa kabisa ....hata mazoezi wengine awajafanya asikika mmoja wa wachezaji akilalama

  alipofwata katibu mkuu angetile osiaha amaedai hana taarifa na hayo makato ila anachojua hizo pesa zimekatwa na kocha mkuu wa twiga charles boniface na msaiidizi wake wakidai waliazima sehemu kulipa wachezaji

  wakati huo huo wachezaji wa twiga wamesema awatacheza kesho mpaka wapate mgao unaotakiwa kutoka msd million kumi..huu ni upumbavu kwani nani ajuindege kuna mtu anadai ati hao watoto kuwapandisha ndege inatosha kabisa..na vijiallowance....kesho nakwambia watanzania msishangae furaha ikageuka huzuni walisema baadhi ya wachezaji

  wabunge wakati wanatoa wamesema wazi pesa zote ziende kwa wachezaji na makocha matokeo yake huyu katibu kila mgao wetu anataka kula sijui anamatatizo gani njaa yake isutuzingue kabisa na asishangae hata huko anapofikira twende atufiki ...mmoja wa mabinti wazuri kabisa anasema unajua kuna mijitu imekaa kutibia ibia tu wao wanashangiilia siku wakisikia tumeendelea ili wapate kula misaada yetu sasaimetosha ...tukokikazizaidi

  ndugu watanzania najua mna hamu ya kusiaidia hii timu ila kwa ujambazi wa tff na huyu kati wake ambao wameziibia timu za ligi kuu kiasi kingi sana na leo african lyon wamewapa siku 30 kupewa malipo yao huuyhuyu angetile alimkabidhi cheki feki goalkipa wa yanga jamani alipoona magazeti yanakomaa akaamua kumpigia kisa ati alikuwa ajui namba zake ...huyu ana tofauti na mwakalebela na msishangae akitoka hapo anagombea ubunge mbeya hana adabu kabisa
  nadhani si muda muafaka kutoa hela za kuisaidia hii timu kuishirikisha tff. Hakuna mtu anafurahia wizi wa tff na mini hata wabunge sasa hasa wale wanawake wanajuta kwanini walizikabidhi kwa hawa mafedhuli
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  wizi kila mahali makubwa
  kumbe TFF ndio wanasababisha timu zetu kutokufika mbali kwa uroho wao
  nyambafu zao hawa kw akula jasho la wengine.
   
Loading...