kwa ngazi yangu ya degree take home ni kama laki 6 elfu 80000......hivi wa tra au bot wanakula ngapi mpaka waseme siye Ndo tuna mishahara mikubwa?
Mh,ya kweli hayo?Kuna TANAPA, form four leaver mshahara wake zaidi ya laki 5, zaidi ya Mwalimu mwenye shahada
Tatizo si mishahara mikubwa,madr wanadai malimbikizo ya 'duty/call allowance' ambayo hawajayapata kwa zaidi ya miezi 4 sasa.
hivi mbayuwayu yupo nchini...