Mhe. Maige unatania au wamaanisha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhe. Maige unatania au wamaanisha?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nsangaman, Jan 28, 2012.

 1. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Katika taarifa ya habari tarehe 26.1.2011,waziri Maige akiwa Hifadhi ya Taifa Saadani ulio agizo kuwa TANAPA iajiri wananchi wanaoishi karibu na Hifadhi hiyo, marufuku kuajiri wasio wakazi wa karibu na Hifadhi.
  Hivi Mhe.Waziri ulikuwa unamaanisha au ilikuwa ni kipiga changa la macho wananchi hao mbele ya Mbunge wao mhe.Pamba?
   
 2. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kachemka
   
 3. k

  kipinduka Senior Member

  #3
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we ulitakaje?
   
 4. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Alikua Ana wabeep.
   
Loading...