Maandamano makubwa ya wananchi siku ya jumatatu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano makubwa ya wananchi siku ya jumatatu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Salas, Jan 27, 2012.

 1. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nimepata habari hii kupitia sms ya mkononi ikinitaka kutuma kwa wananchi wengi zaidi, watu kuandamana siku ya tarehe 30 January 2012 saa tatu asubuhi kuelekea viwanja vya kisutu, kidongo chekundu, mlimani city , viwanja vya sababa na wengine wa mikoani kwenye ofisi za halmashauri na viwanaja vya wazi.

  1.ukosefu wa ajira 2.kupanda kwa gharama za maisha 3.huduma mbaya za afya, elimu na maji. 4.ukosefu wa umeme 5. Ufisadi 6.mikataba mibovu 7. Ubaguzi kwenye mikopo ya elimu ya juu 8.malipo duni ya wafanyakazi wa serikali 9.ufujaji wa mali ya umma kwa watendaji wa serikali kwa safari zisizo na tija. 10. Kuwakumbatia wawekezaji katika kuiba ardhi na rasilimali ya wanyonge 11. Mgomo wa madaktari 12. Dharau ya viongozi kwa wananchi
   
 2. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hilo nalo neno
   
 3. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ilikuwa Waarabu,sasa zamu ya watu weusi hasa watanzania.Tanzanians awakens!
   
 4. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hapo ndipo mwanzo wa mwisho mzuri kwa mazulumati wa haki
   
 5. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hiyo sms umeipata wapi? si hata mimi naweza kuanzia kutumia watu hizo sms? tusiigeuza JF kijiwe cha udaku
   
 6. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu hili tangazo linaweza kutia watu matumbo joto, badala ya kutafuta pesa kkwa ajili ya kurekebisha hali ya hospitali zetu na kupoza madakitari warudi kazini, utawafanya viongozi wa Serikali kuagiza Malori mengi ya maji washa na mabomu ya machozi mengi. Pesa ambayo ingelisaidia kurekebisha baadhi ya mambo hata kulipia deni la matengenezo ya ndege ya Raisi.

  Viongozi wa Tanzania wanajipanga vizuri sana katika maandamano, kuliko katika kutatua kero za wananchi.

  Sasa ndugu yangu hili tangazo lako litatuletea balaaaaaaaa!!!!!!

  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 7. Mganga wa Jadi

  Mganga wa Jadi JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ni nani anaye ratibu hii kitu! Itasaidia kuamsha hawa jamaa waliolala.
   
 8. s

  sojak Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  No time to waste,'WALK TO WORK' is the best way we can do. ref KIZABESIGE
   
 9. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kweli nadhani wewe umenena vyema basi labda na wewe uanzishe mabadiliko yaje?? au umevimbiana tumbo kwa haki za wanyonge
   
 10. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  sema hakyanani!
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  We unachekesha!
  Kwani ukianzisha msg ya namna hiyo na watu wakarespond kuna shida gani?
  Msifiche ukweli kwa matumaini ambayo hayapo, na hayatarajiwi kuja!
  Kama jambo hili litasaidia japo kidogo kuwaamusha hawa MAAMUMA basi lafaa sana...mimi niko tayari 24 hrs!
  TUUNGANE KUMWONDOA MKOLONI MWEUSI!
   
 12. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mkuu naona umeniwahi.

  Huo ujumbe kaupata kutoka kwa nan??
   
 13. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Acha uongo wew hakuna lolote lile unajidai umetumiwa sms .
  Kweli jf sasa imekuwa kama gazeti la udaku.
   
 14. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mimi sijapata sms, lakini niko tayari tu kuandamana hata leo.
   
 15. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #15
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Manyanza zanzibar hamuandamani kuongezewa eneo la bahari?
   
 16. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi nimeshaanza kuandamana ....................
   
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Sina hakika kama hayo maandamano yatafanikiwa!
   
 18. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #18
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Tuanze kuyaratibu yafanikiwe, kwani ndo muda wenyewe wa ku act.
   
 19. f

  filonos JF-Expert Member

  #19
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  haya mambo mengine hata huko yalikotokea yalianza kama MCHICHA mala jambo likazua jambo HATALI hiyooooo....................................?????
   
 20. Watunduru

  Watunduru Senior Member

  #20
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  maandamano huanza taratibu na pengine watu au maeneo machache sana,lakini hushika kasi kadri muda unavyosonga baada ya watu kuzoea hali halisi,watu tunahitaji sana maandamano kwani maisha tunayoishi ni kama tuko ktk maandaano tu,hatuwezi kuijenga nchi yetu kabla ya kuibomoa kwanza,ndio kanuni ya ujenzi.tunahitaji watu wa kuwatia vijiti ktk masaburi.basi na isiwe masihara tufanyeni kweli bana.
   
Loading...