Jamani mwenye updates kuhusu walokosa ajira za walimu wa shahada! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani mwenye updates kuhusu walokosa ajira za walimu wa shahada!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ptz, Jan 28, 2012.

 1. P

  Ptz JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Naombeni kujuzwa kwa mwenye uptodates kuhusu wale walimu wenye shahada waliokosa ajira! Mke wangu ni mmoja kati ya waliokosa,maana hadi sasa kimya kimya, hakuna tamko au kauli yoyote toka wizarani kuhusu hatima ya hao walimu hao. PLEASE mwenye uptodates anipatie!
   
 2. k

  kipinduka Senior Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kafel wote wenye sifa wameenda kuripoti au hakuomba muulize vzr
   
Loading...