Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
Wana JF katika pitapita zangu kwenye mtandao leo nimejihudhurisha kwenye Tovuti Rasmi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika kusoma habari mbalimbali hapo mtandaoni nikakutana na hii habari inayomuonyesha Dr. Slaa kama mbunge wa Karatu tangia mwaka 1995 todate! Bunge halina wataalamu wa IT ambao wanatakiwa ku update tovuti hii? Source: Parliament of Tanzania Pia hii nayo inamuonyesha Natse kama Mbunge wa Karatu lakini haionyeshi kuanzia lini hadi lini! Parliament of Tanzania |
|