Gazeti la mwananchi lina/limepoteza weledi

busar

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,070
Ile hali ya magazeti yetu tuliyoyategemea kuwa na balanced info sasa yanaonesha kuyumba na kuelekea kupoteza weledi, nahau Lakini machache ni
1. Mwananchi imelaumiwa sana na serikali na hasa chama tawala ccm kuegemea upinzani na kukosa uzalendo, hivyo nahisi wametishika na kunywea.
2. Tetesi za hisa nyingi kununuliwa na matajiri wenye kudetermine nini kiandikwe hata Kama hakiuziki si nini kinamanufaa kwa jamii.
3. Kukosa wataalamu katika room news zao, mfano kichwa cha habari Kama hiki "slaa amkwepa jk msibani" Sina Tatizo na habari yenyewe Lakini je ni kweli? Je katika uzoefu wa miaka kadhaa ya uandishi hawajui kweli protocol ya VIP's? Je wameamua kutojadiliana Kama ambavyo mhariri amewahi kutuhabarisha namna wanavyoweka mjadala wa vichwa vya habari kuu kati yao editors, sasa je hili nalo walijadiliana lanka ya kuliandika?
4. Wametishwa na kesi ya uchochezi walisukumiwa so wameona kuliko kupoteza biashara bongo bora wawafurahishe watu fulani.
5. Bora kununua gazeti la uhuru ukijua wasaka za ccm, fauna za cdm, majira? Mwanachi je za NANI?

Kwa uchache, thinkers tujuzeni na kutushauri tulipige chini au vip.
 
wala hatuhitaji mjadala wa kulipiga chini au laa,RAI,majira,mtanzania yako wapi?naamini ule usemi hili gazeti ni la kichochezi na usalama wa taifa wailifungie kabisa.
 
Ni kususa tu kununua kila gazeti ambalo halileti balanced info, wakikkosa end user watawasaidia dada/kaka zetu kufingia maandazi.
 
Hili MWANANCHI ni la Kenya hapa ni njaa tu na vibaraka Hawa

Nia Yao ni kuochafua Tz ila wajanja tumeshastukia wanataka kuchafua nchi na kuleta uchochezi Kama Kenya Kwani wao wanahistoria ya kufungiwa hata Kenya na Uganda...

Hakuna mtazamo CHANYA on various national issues whether it be for the Government or Social and Economic approach wao ni Deception tu that's all we are being feeded....

Hawa jamaa wanapanda mbegu ya chuki na uzandiki sana ni hatari wanauma na kupulizia .

Walikua wanasubiri mwanya wa vyama vingi na demokrasia tu waweze kupandikiZa chuki na kuchochea machafuko.

Tukija kuvuna tayari Tanzania sio ile ijulikanayo kisiwa cha Amani Kwani kuna nchi jirani zinafanya Ibada Maalum kuombea machafuko.
 
Hebu toeni upuuzi wenu hapa, not everyone values CHADEMA that much
 
tanzania ni zaidi ya uijuavyo watu wake ni hewa,
 
Ile hali ya magazeti yetu tuliyoyategemea kuwa na balanced info sasa yanaonesha kuyumba na kuelekea kupoteza weledi, nahau Lakini machache ni
1. Mwananchi imelaumiwa sana na serikali na hasa chama tawala ccm kuegemea upinzani na kukosa uzalendo, hivyo nahisi wametishika na kunywea.
2. Tetesi za hisa nyingi kununuliwa na matajiri wenye kudetermine nini kiandikwe hata Kama hakiuziki si nini kinamanufaa kwa jamii.
3. Kukosa wataalamu katika room news zao, mfano kichwa cha habari Kama hiki "slaa amkwepa jk msibani" Sina Tatizo na habari yenyewe Lakini je ni kweli? Je katika uzoefu wa miaka kadhaa ya uandishi hawajui kweli protocol ya VIP's? Je wameamua kutojadiliana Kama ambavyo mhariri amewahi kutuhabarisha namna wanavyoweka mjadala wa vichwa vya habari kuu kati yao editors, sasa je hili nalo walijadiliana lanka ya kuliandika?
4. Wametishwa na kesi ya uchochezi walisukumiwa so wameona kuliko kupoteza biashara bongo bora wawafurahishe watu fulani.
5. Bora kununua gazeti la uhuru ukijua wasaka za ccm, fauna za cdm, majira? Mwanachi je za NANI?

Kwa uchache, thinkers tujuzeni na kutushauri tulipige chini au vip.

kwa vile kaguswa padre
 
Back
Top Bottom