Tanzania Kweli kichaka cha mafisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Kweli kichaka cha mafisadi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kipre, Jan 28, 2012.

 1. k

  kipre Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana jf,leo katika taarifa ya habari za michezo pamoja na kwenye baadhi ya magazeti kuna taarifa kuwa zile sh.milion saba timu ya wanawake ya Twiga walizochangiwa na timu ya wabunge zimechakachuliwa na TFF kupitia meneja wa timu ya wanawake, wachezaji wametishia kugomea mchezo wao na Namibia,Watanzania tutafika kwa hali hii kweli!!!!!!!!
   
 2. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  hii bongo yetu hadi kichefu chefu! utafikili tunatumia ubongo wa samaki!
   
 3. w

  wasasa Member

  #3
  Jan 28, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Je, pesa zilizotolewa bila kutangazwa kwenye vyombo vya habari?
   
 4. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mmmh nililitarajia hili....
   
 5. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nadhani samaki ana akili njema zaidi.
   
Loading...