Ban Ki Moon naye kutetea USHOGA

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,133
659
Ni katika kikao cha viongozi wa mataifa ya Afrika huko Addis Abbaba,Ethiopia,kilicho ambatana na ufunguzi wa jengo jipya lililo jengwa kwa msaada wa serikali ya China .Ki moon anadaiwa kuwanyooshea kidole viongozi wa Afrika akidai kuwa huu ni wakati wa kupigania haki za binadamu,ameonekana kuwatetea mashoga na kutaka haki yao kutambuliwa.Sasa mi najiuliza,hawa viongozi wa ulaya wanaozishurutisha nchi za Afrika kutambua ushoga watatufikisha wapi? Alianza Camerun na sasa ni Ki Moon,tujitafakari na misaada tunayopewa na hizi nchi za kikoloni ambayo ina lengo la kuturudisha SODOMA NA GOMORA wakati sisi tunaelekea KANAANI.Hapa tatizo ni umaskini kwa nchi nyingi za kiafrika.
Source:HABARI TBC saa 2 usiku.
 
Back
Top Bottom