Migomo makazini - madaktari wamefuata taratibu na maadili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Migomo makazini - madaktari wamefuata taratibu na maadili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtazamaji, Jan 29, 2012.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wakuu Taifa letu kwa ujumla na serkiali "yetu" iko kwenye mgogoro na madaktari walio kwenye mgomo. Binafsi sijaelewa wazi chanzo na sababu na maudhui ya mgomo lakini nachtoambua sekta nyingi za huduma Tanzania zina haki na sabbau za kufanya mgomo

  Kama mwananchi moja ya sababu inayonifanya nianze kuhoji mgomo wa madakari ni umuhmu wa huduma yao.. Umuhimu wa madaktari unaweza kuwa sawa na wahandisi ,walimu, wanasheria, lakini tofauti moja kubwa ni majukumu ya udaktari yahusu uhai. kwa hiyo kitendo cha madaktari kugoma

  • Hakitakiwi kuwa rahisi na cha haraka kama mwalimu, mwanasheria, etc Kuna mdau aisema inatakiwa kuwa ni option ya nne au tano
  • Mgomo wa madakari unatakiwa kuwa organised na muajiri anajulishwa mapema hata miezi mitatu kabla.... Huu ni uhai..........
  • Mgomo organised unatakiwa kuwa wa siku chache na unajuliknaa unaanza lini na unaisha lini. kama vile siku mbili tu . Baada ya miezi mitatu kama hwajakubaliana na mujiri wanagoma siku tatu tena .............

  Ni kwa sababu hiyo pamoja na kuwa wana madai ya msingi madaktari hawa ambao ni wasomi naona hawakutumia taratibu na hatua zinazofaa na zinazoshabihiana na wao kuelewa unyeti wa kazi yao.

  Vile vile tunaona na kusikia mgomo wao hauko orgnanised. Mara tunasikia mgomo umeanza sababu ya madakatari wanafuzi walio kwenye mazoezi kwa vtendo kuagizwa waende mikoani. Mara tunasikia mgomo ni sababu ya madaktari kutoridhswa na mazingira wanayofanyia kazi. Na wengne utasikia hata wanangolea uongozi na utawal wa sekta ya afya kutokuwa na watu sahihhi . Na wengne wanasema Posho.

  So far nitaependa kufafanuliwa madai ya msingi yanayosababisha huu mgomo ni nini

  Baada ya hayo nimetumia mtandao Kuona utaratibu wa wenzetu wanatumia kugoma. wao wnaita Industrial action. na hii sio ndusrial action ya madaktari......

  Nawasilisha kwa mjadala
   
 2. Hero

  Hero JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 765
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  hebu jaribu kukisoma ulichokiandika word toword, kama utaelewa tutaweza comment!
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  aksante mkuu. Nashukuru

  Takwimu za syntax eeron zangu zinaonyesha hazina tofauti na zako. naona na wewe kwa maneno kumi kuna kosa moja tayari umefanya Lakini nimekuelewa. na nimerekebisha
   
 4. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mtazamaji: achana na hayo 'madesa' ya nchi za watu. Tanzania tumeisha elezwa kuwa kugoma ni haki kisheria ila utaratibu sharti uzingatiwe, sheria zetu ziko wazi ktk swala la nani anaruhusiwa kugoma na nani aruhusiwi kugoma na kwa utaratibu upi unaweza kutumika.

  Kwa uelewa zaida soma:-
  1. Sheria Ajira na mahusiano kazini No6
  ya 2004(hasa kifungu cha 75,76,77..
  imeelezwa pia taratibu zote za kugoma)
  2:Sheria ya Taasisi za kazi No.7 ya 2004
  (nani wa kushugulikia mgogoro)
  3. Kanuni za utendandaji bora wa kazi
  GN 67 ya 2007.
  Sasa baada ya hapo ndugu Mtazamaji kama kuna mapungufu ''lacuna'' unaweza kutafuta hayo madesa yako.

  Ila kwa ujumla ili ufanye mgomo lazima utoe NOTISI ya muda kadhaa kwa upande wa pili ukiutaarifu nia ya kugoma.

  SASA KTK ILI LA MADIKTARI UNAWEZA KUPIMA MWENYEWE.
   
Loading...