KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,067
Mtu yeyote kuiongoza, bila kujali umri wala elimu. Nipo hospitali hapa, mapokezi na kwenye makoridor hamna wagonjwa, wameamua kubaki nyumbani au kutibiwa hospitali binafsi bila manung'uniko kwa serikali bali wanawalaumu madocta. TBS watu wamelipa gharama za ukaguzi wa magari yao nje ya nchi kwenye kampuni feki na kupigiwa mihuri inayotambuliwa 'ki-deal' na TBC, watu kimyaa.! Wahusika wa uozo wote na mengine mengi wanaendelea kupokea mishahara. Viongozi wa nchi wanaraha sana.