Madaktari acheni upuuzi na kiburi...!!! Fanyeni kazi

gango2

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
1,941
2,251
Mi nashangaa hawa watu wanajifanya taaluma zao ndo muhimu saaaaana kuliko watu wengine!!!!

hakuna kitu kama hicho bana, kila mtu anaweza kusomea udaktari lakini tukifanya hivyo nani atakuwa mwalimu au muhasibu??

kwanza katika secta ya UMMA nyie ndo watu mmanoonga kwa mishahara mikubwa kuliko watu wafanyakazi wangine wote, lakini wengi wenu ni walevi tu!!!

mbona walimu wanapata karibu 1/7 ya mishahara yenu lakini wanafanya kazi kwa moyo??? hebu acheni hizo zenu, nchi masikini hii mkilipwa milion 3.5 hamuoni mtatengeneza gap na wafanyakazi wengine wa umma>>

kuweni wazalendo bana, mi mnanikera sana..!! mnajifanya ndo watu muhimu kuliko wote tanzania!! nyoooooooooo!!!

kama hujalizika na mshahara wa serikarini si uende private!! unajua kuna wajinga wajinga hapo wanawasonga hata wale wenyemoyo wagome,

nchi ya watu masikini hiii bwana lazima wote tusheee umasikini ,,, sio wengine waishi maisha ya juu wengine maisha mabovu, eti daktari apate 3,500,000 mwalimu apate 200,000.
 
haya ni majibu ya blandina kabla mgomo haujashika kasi,lakini leo kawafuata madaktari na kutaka kuongea nao.
mimi naona madaktari hawajaeleweka na kilichobaki ni kuanza mgomo wa kutokula(hunger strike)
ni bora wafe wakitetea huduma bora za afya kuliko................
 
We mwenyewe umemaliza la 7 kwa mbinde unajidai kila m2 anaweza kusomea udaktari, acha upu**

dont takes your problems as others!!! kama ulifeli wewe si wote alllah, wengine tuliona udaktari haulipi ndo mana tulimbia huko
 
Mleta mada ebu geuka angalia kichogo chako. Umekiona? Halafu jaribu kusomea udakitari.
 
mjitu kama wewe ukipita mbele yangu nakupasua bichwa lako.

tatizo hufikiriii, ndo mana, nani katika nchi hiii sio muhimu, mwalimu, muhasibu, mwanasheria, sasa kwanini wao wawe na kiburi, au nawe ni mmoja wao???? acha ujinga
 
haya ni majibu ya blandina kabla mgomo haujashika kasi,lakini leo kawafuata madaktari na kutaka kuongea nao.
mimi naona madaktari hawajaeleweka na kilichobaki ni kuanza mgomo wa kutokula(hunger strike)
ni bora wafe wakitetea huduma bora za afya kuliko................

unajua udaktari ni taaluma ambayo ilikuwa na heshima sana lakini mnaishusha hadhi sana siku hizi, wachache msio na maadili, mbona zamani watu walikuwa hawagomi,,,,!!
 
tatizo hufikiriii, ndo mana, nani katika nchi hiii sio muhimu, mwalimu, muhasibu, mwanasheria, sasa kwanini wao wawe na kiburi, au nawe ni mmoja wao???? acha ujinga

riffraff on his assigned duty. You sacrifice your endowed nature of respect by displacing it with insanity.
 
Sioni sababu ya kubishana na mwehu kama wewe, udaktari ni kitu nyingine mazee sio kila mtu anaweza kusoma udaktari, yaani mimi nawaunga mkono ingawa nilikimbia biology yaani hata kama masela watadai 5Mil wapewe. Yaani wamesoma kwa shida pia waishi kwa shida. Komaeni mpaka kieleweke.

Note Mimi natibiwa na kampuni yangu tena hospitali zile za maana hapa bongo, so wanasiasa heshimuni Professinal za watu
 
Hivi hawa watu wa hivi hapa jamvini wanatokea wapi?mbona huyu kama mzamiaji wa kisomali anayeelekea S.A?

Kwahiyo definition yako ya mtu kudai haki yake ni kiburi siyo?alafu hapo ulipo unafikiri siku moja Mungu akupe na wewe huwe kiongozi mahala?make siioni tofauti yako na watu kama Maghembe,Mungai,Mwinyi Sued,Ngeleja,Blandina Nyoni...unawaza ka sisimizi pimbi we!
 
unajua udaktari ni taaluma ambayo ilikuwa na heshima sana lakini mnaishusha hadhi sana siku hizi, wachache msio na maadili, mbona zamani watu walikuwa hawagomi,,,,!!
walioishusha hadhi ni watawala na sio sisi.hiyo heshima iko wapi mbona daktari akienda bank anapanga mstari badala ya kuhudumiwa haraka na kuwahi kurudi kazini??
 
Hivi hawa watu wa hivi hapa jamvini wanatokea wapi?mbona huyu kama mzamiaji wa kisomali anayeelekea S.A?

Kwahiyo definition yako ya mtu kudai haki yake ni kiburi siyo?alafu hapo ulipo unafikiri siku moja Mungu akupe na wewe huwe kiongozi mahala?make siioni tofauti yako na watu kama Maghembe,Mungai,Mwinyi Sued,Ngeleja,Blandina Nyoni...unawaza ka sisimizi pimbi we!

tumia akili wewe usitumie ubongo wa nyuma nani kakwambia haki inadaiwa kwa kugoma????? ndo ulivyo jifunza darasani?? acha hizo bana kama unadai haki kwanini wanaoteseka wengine?? kwanini wengine wafe kwa wewe kudai haki,

fikiria kabla ya kusema usije ukawa mlopokaji tuu wewe
 
Sioni sababu ya kubishana na mwehu kama wewe, udaktari ni kitu nyingine mazee sio kila mtu anaweza kusoma udaktari, yaani mimi nawaunga mkono ingawa nilikimbia biology yaani hata kama masela watadai 5Mil wapewe. Yaani wamesoma kwa shida pia waishi kwa shida. Komaeni mpaka kieleweke.

Note Mimi natibiwa na kampuni yangu tena hospitali zile za maana hapa bongo, so wanasiasa heshimuni Professinal za watu

teh teh tatizo sio lako lets me give you simple logic

hapo zamani mtu ili asomee udaktari alikuwa ni lazima apata div 1 tena iwa chini ya div 1.7 na alikuwa anaenda muhimbili tuu, leo kila kona ya nchi kuna chuo cha udaktari, sio KCMC, BUGANDO, UDOM, HERBERT KAIRUKI, MHIMBILI, na vingine vingi kiasikwamba hata mtu ukiwa na DIV 3 ya pcb unaenda katika vyuo binafsi unasoma udaktari na unapata cheti. tena unakuwa daktari mzuri tuu, so kuwomea udaktari sio issue saaaaana, sema zamani walikuwa wanatait koz chuo kilikuwa kimoja tuuu.
 
we gango2 nahisi akili yako ina matobo kama meno ya kwenye avator yako!
waonekana ni mfwasi mzuri wa uganga wa kienyeji ndo mana unamwaga huo
upupu wako!
 
Back
Top Bottom