Kwa nini kuna mochwari?

aduwilly

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
1,176
305
Kama kweli madaktari wanamsaada kwenye maswala ya utabibu kwa nini hospitali zinajengwa mochwari na zile ambazo hazina zinaandikiwa bajeti ili ziwe nazo?

Madaktari wote waliogoma waende kule alikosema Mzee Malecela
 
serikali inajua fika kuwa lazma watu wafe ndo maana kuna mochwari,pia kuna ajali n.k
 
Ww ni mtu anayependa kujua.hongera sana.
Mtu Akifa ina maana alichelewa matibabu au ugonjwa wake hautibiki au alipata ushauri m'baya
Au tiseme uzembe.
 
Back
Top Bottom