Tusitetee madokta tu bila kuchukua hatua sisi ndio tutakufa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusitetee madokta tu bila kuchukua hatua sisi ndio tutakufa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mopalmo, Jan 29, 2012.

 1. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 454
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wana jf nimekuwa nikifuatilia kwa makini hali inavyoenda na maoni mbalimbali kutoka kwa wananchi wenzangu,asilimia kubwa wakitetea madaktari kuhusu madai yao,ila moja tu la msingi nililogundua sisi maskini ndio tutakufa kwa kukosa huduma hasa kama serikali itapuuza madai yao.sasa hali ilipofikia ni pabaya baada ya waziri mkuu kuwaamrisha warudi kazini.nadhani inabidi tufanye kitu ili wajue tunahitaji huduma bora na wala si madaktari kwenda tu kusign tu mahudhurio
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  I think PM decision is going to create more negative effect kwa wananchi kwani hawatapata huduma yoyote
   
 3. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  anafikiri tukirudi tutatibu kwa ufanisi??anafikiri ntajitoa asilimia 100 kuokoa maisha ya mgonjwa???
   
 4. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Big up mkuu, umeongea point kubwa!
   
Loading...