Uhamiaji mnajizalilisha:mnahisi hawa wasomali wameingia na ungo??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Mi nafikri mkurugenzi wa uhamiaji naona awe makini atapata laana sana kwa kuwanyanyasa
hawa wasomali kila siku kisa njaa za wafanyakazi wake ..hivi mnaona raha kutoa picha za wakimbizi
mnahisi wameingizwa na ungo..hizo dola zenu mia miambili mnazochukua alafu mnawapitisha boda mnawaachia wakafie mbali mbaya mnapiga simu wakiwa wanaelekea mbele wakamatwe si ubinadamu hata kidogo
mkurugenzi
kaa na wenzako jadilianeni je hawa kila siku wanakutwa 100 150 je wameruka na ungo toka somalia
kamammewapitisha means mnawamudu kwa nini msiwatafutie msaada ...ukiwauliza wakati wakiondoka kwenda na ndege ethiopia wanakwambia wameingia na doller 2000 mweingine 3000 anasema ameonga akaamua wacha arudi nyumban
 
Raia+wa+Ethiopia+98+wakiwa+chini+ya+Ulinzi+wakisubiri+kufikishwa+Mahakamani+Januari+23%252C+mwaka+huu+kwa+kosa+la+kuingia+nchini+bila+kibali+wala+hati+za+kusafiria..JPG
 
HIVI MNAHISI WANAPENDA KUGEUZA VICHWA VYAO HIVI KILA SIKU JAMANI
Wahamiaji+haramu+wa+Raia+wa+Ethiopia+wakiwa+ndani+ya+Mahakama+ya+Hakimu+Mkazi+Mkoa+wa+Morogoro+wakisubiri+kusomewa+mashitaka+yao+%252C+Januari+23%252C+mwaka+huu..JPG
 
Wizara ya mambo ya ndani inanuka rushwa tupu! Haiingii akilini kila kukicha wanashikwa Wasomali mara Wahabeshi! hawa watu wanalipa pesa A.K.A rushwa kwa wahusika huko mipakani na wanaingia nchini kwa njia zisizo halali na kufikia hata majuzi tumesikia wengi wao wamepoteza maisha kwakukaa kwa muda mrefu ndani ya lori kwakukosa hewa. Inasikitisha mno!
 
Mi nafikri mkurugenzi wa uhamiaji naona awe makini atapata laana sana kwa kuwanyanyasa
hawa wasomali kila siku kisa njaa za wafanyakazi wake ..hivi mnaona raha kutoa picha za wakimbizi
mnahisi wameingizwa na ungo..hizo dola zenu mia miambili mnazochukua alafu mnawapitisha boda mnawaachia wakafie mbali mbaya mnapiga simu wakiwa wanaelekea mbele wakamatwe si ubinadamu hata kidogo
mkurugenzi
kaa na wenzako jadilianeni je hawa kila siku wanakutwa 100 150 je wameruka na ungo toka somalia
kamammewapitisha means mnawamudu kwa nini msiwatafutie msaada ...ukiwauliza wakati wakiondoka kwenda na ndege ethiopia wanakwambia wameingia na doller 2000 mweingine 3000 anasema ameonga akaamua wacha arudi nyumban

Nakubaliana kabisa wewe mkuu,hawa watakuwa wameingilia Namanga-Arusha au Holili-Rombo,nahisi kutakuwa na maagent ambao wako Kenya na Tanzania wanafanya kazi hiyo yakuwavusha,na bila shaka mahafisa uhamiaji watakuwa wanahusika kwa kiasi kikubwa.....hawa ni Waethiopia yaani wanatia huruma mpaka basi,mtu kasha changa vipesa vyake anajua anayatoka mateso ya Zenawi,anaishia kwa walanguzi wa kibogo,AFRICA
 
nawaonea huruma nafikiri wanajiuliza kwa nini Mungu kawapa nchi kama ile, kila siku vita, sijui ni kwanini Eritrea na Ethiopia wanaingia mkumbo huu, nao kweli wana shida
 
hivi mnahisi wanapenda kugeuza vichwa vyao hivi kila siku jamani
wahamiaji+haramu+wa+raia+wa+ethiopia+wakiwa+ndani+ya+mahakama+ya+hakimu+mkazi+mkoa+wa+morogoro+wakisubiri+kusomewa+mashitaka+yao+%2c+januari+23%2c+mwaka+huu..jpg

hapa hakuna msomali hata mmoja pia wasomali bali hawa ni waithiopia ambao wengi wasafiri kwenda nje kutakana na hali mbaya ya nchi yao lakini wanatumia mwanya wa kufanana na wasomali
 
hakuna msomali hapa hawa waithiopia wanakimbia kwao kwani maisha ni magumu sana kuliko somalia pia wanatumia kufanana kwao na wasomali na vurugu za somalia kupata hifadhi na maisha mazuri nchi nyigine
 
Hivi mpaka wanafika Morogoro waliingiaje? Hapa ndio PD anapoelekeza lawama kwenye hii idara.

Halafu kwa mbwembwe kabisa wanatangaza kuliadhibu gari lililokuwa limewabeba!! kwa nini wasiangalie walipoingilia?
 
Back
Top Bottom