Yahaya M. wa JF....Je,Kafulila na Machali kesho watakuwa kwenye kipindi cha tuongee asubuhi StarTv? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yahaya M. wa JF....Je,Kafulila na Machali kesho watakuwa kwenye kipindi cha tuongee asubuhi StarTv?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mshikachuma, Jan 28, 2012.

 1. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu Yahaya M. heshima mbele na pole kwa majukumu!

  Nisikuchoshe sana mkuu wangu....nilitaka kujua tu Je, hao waungwana wawili hapo juu'kesho wataudhuria kwenye kipindi cha
  tuongee asubuhi kinachorushwa na Star Tv?....tunataka kuandaa maswali ya hiyo kesho, piatunataka kujua mbichi na mbivu.

  Ahsante sana!
   
 2. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Yahya jibu basi tujue.
   
 3. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Yahya umekua mdau wetu hapa JF na mimi nakukubali katika tasnia ya habar,naomba utujibu
   
 4. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwenye umahiri wa Yahya na ukubali sana ila kwa hili nadhani njia nyepesi ni kum PM nadhani ataipata wakati wowote akifungua User name yake. Lakini kipindi chake cha Tuongee Asubuhi kinachangamsha sana ingawa wale jamaa zake wawili Paul Mabuga na Tom Chilala huwa siwaelewi kabisa!!
   
 5. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu,unachoongea ni sawa,lakini ninge m-PM wengine wasingepata nafasi ya kujua ni kitu gani kinaendelea hapo Star Tv kesho asubuhi
   
 6. Yahya Mohamed

  Yahya Mohamed Verified User

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Niombe radhi kwa kuchelewa kujibu Thread hii wadau, nipo nje kidogo kwa shughuli za Kifamilia. Mada hii tumeisogeza mbele kutokana na majukumu yanayowakabili wanasiasa hao na tunafanya maarifa ya kuendesha nao mjadal;a kutokea Bungeni Dodoma na tutakupeni Feedback kama kawaida.

  JF pamoja nasi

  Jumapili Njema
   
 7. M

  MALAGASHIMBA Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Nikupongeze kwa namna unavyokiendesha hiki kipindi,ombi langu ni muda,ongezen muda kwan kipindi hiki kinagusa na kuongelea mambo mengi yanayotuhusu watz.
   
 8. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 738
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  tumekusoma! Pamoja sana mkuu
   
 9. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mkuu Yahya,
  Ubarikiwe kwa kujibu swali la mdau!
   
 10. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  kweli..muda uongezwe..lakini mada za jmosi pekee na aendeshe Yahya tu.. Vipindi vya Tuongee Asubuhi vya siku nyingine visiongezwe muda..
  Ila nasikitika kuna mhadhiri mmoja wa SAUT siku hizi haitwi.. Ni bwana mmoja mfupi.. Jina simjui.. He is very open minded na pia na well informed.. Alitumika sana kweye kipindi cha uchaguzi,2010..
  Yeye huyaita yale ''magazeti pendwa''...''takataka newspapers!'',na anasema kuwa huwaambia wanafunzi wake wasisome magazeti kama UHuru na Tanzania Daima.. Kwani kitaaluma ya habari,yana kasoro kubwa!
  Mleteni jamani,mtumieni...ni kichwa kile.. Sio kuchukua watu wenye msimamo sawa na wetu pekee. Ni bora kusikiliza maoni ya pande tofauti kwani yanawakilisha jamii fulani..
   
 11. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu Yahaya,ahsante sana kwa ufafanuzi wako!....daima tuko pamoja
   
 12. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Keep it up yahya.
   
Loading...