Makamu wa rais Dkt Mohamed Bilal; yahuhusu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamu wa rais Dkt Mohamed Bilal; yahuhusu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Futota, Jan 29, 2012.

 1. Futota

  Futota JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Jamani, hivi huyu makamu wa rais katika misafara yake yote ya kikazi mikoani na nje ya nchi, kuongozana na wake zake wawili, hii imekaaje ki-protokali? Maana isiwe ni ile ile kawaida ya viongozi wetu wa serikali kufuja (kaki)pato la taifa hili maskini
   
Loading...