Kwako JK,
Toka sakata la madaktari na wizara ya afya lianze takriban mwezi mmoja sasa tumeona majibishano mengi kati ya watendaji wa wizara, madaktari na jamii nzima kwa ujumla. Aidha humu JF...
Kama waziri mkuu anathubutu kutangaza hadharani wabunge waliokosea wabatilishe usemi wao
naomba ma dk wote najua mnatupenda mna mapenzi mema na sisi lakini hata wakiafiki kuwalipa mafao yenu...
Kama tutaendelea hivi sidhani kama tutafika
anna makinda nani aliewahi kukuomba pesa mpaka ukasema ati sisi tunapewa mishahra sababu ya familia
ninyi mnakuwa na shida sababu mnaombwa na...
Sakata la Miposho ya Wakalia Sponji kule Mjengoni limepata sura mpya pale ambapo Kurugenzi ya Rais upande wa Mawasiliano ilipokanusha kauli za viongozi wa Serikali Mjengoni kwamba Mkuu wa Kaya...
Ndugu zangu watanzania,maisha yamekua magumu dodoma kwa wabunge na mawaziri pekeyao, au hata na wafanya kazi na wananchi wote kwa ujumla?naona wabunge wameboresha mishahara yao kwa kuongezeana...
NSSF imechangia 277.72 billion kwa ujenzi wa chuo..Hakika wanastahili sifa maana chuo kwa maana yabmiundo mbinu.kilichobaki nibswala la utawala na mambo kama hayo.thanks
Jf members, kuna duka (money link) liko mtaa wa samora huko dsm linasifika kwa kusafirisha hela za kigeni kwenda nje ya nchi na hakuna trtb sawia zinazofuatwa, wwnye data zaidi plse wekeni hasa...
Kwa mtazamo wa kwangu mimi NIONAVYO NA ninavyoamini ni kwamba ,HAIWEZEKANI NA HAITATOKEA MGENI WA NJE AJE KWA MOYO MMOJA AIENDELEZE TANZANIA NA WATANZANIA KWA NJIA HII TUNAYOTUMIA SASA YA...
Wadau,
nikiwa nafuatilia azimio la serikali kuhusu charter ya vijana kwa umakini mkubwa. Umefika wakati anachangia mh. Felix Mkosamali mara matangazo yakaanza kuingiliana. Nasikia mdada mmoja...
Source: Mange Kimambi Blog: [mods tafadhali msiondoe kama mnawatendea watanzania haki hizi ni picha zao wenyewe]
Baada ya tusi la binti mfalme kuturingishia hekalu lake [hisani ya mwandishi wake...
Mkutano umeanza.wabunge wengi kwelikweli utadhani jana hawakuwa dodoma.kwa hili nadhan tunaimprove miundombinu.mbele yangu yuko zitto kabwe, deo furikujombe.
Habari wakuu. Natambua watanzania wengi wanaumia kutokana na kukosa huduma za afya kufuatia mgomo wa madaktari. Tunahitaji kujikumbusha, na ninaomba msaada wenu kwa faida ya walalahoi...
naomba uongozi wa nbc ufikishiwe ujumbe huu kuwa wametumia miguu kufikiri,WANAAMUA KUFUNGA A.C YANGU KWA KISINGIZIO CHA KUUPDATE INFORMATION WAKATI WANAWEZA KUNIJULISHA KWA SIMU,POSTA ,MAIL...
Waziri mkuu kasema Rais kashaweka tiki mshiko wa Wabunge, Ikulu wanasema NOOO haijawa bado, Bibi Kiroboto na yeye Aongea..
Mganga mmoja amewachanganya vipimo hawaelewani mada.
hahahahahha...
kuna tetesi kwamba wafanyakazi katika machimbo ya dhaabu ya nyamongo uende wakaanza mgomo wakidai nyongeza ya malipo kadhalika kuishinikiza serikali kuwalinda dhidi ya unyanyasaji na unyama dhidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.