Magic FM mnajitahidi kutufungua lakini Kibwana anatuchefua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magic FM mnajitahidi kutufungua lakini Kibwana anatuchefua

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Acha Uvivu, Jan 31, 2012.

 1. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kibwana ni gumzo kubwa ktk radio yetu Magic Fm. Mbona anataka kuifanya km Clouds Fm ya Kibonde?
  Manesi wamesema hawawezi kufanya kazi na madaktari wa jeshi kwa sababu historia inaonyesha mwaka 2005 hao madaktari walikuwa kwanza wanauliza manesi namna ya kutibu, Kibwana anapinga eti manesi waongo wangesema tangu zamani.
  Huyu jamaa vipi? Source: X-ray ya Magic Fm.
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  kuna watu public radio wanafanya vijiwe vya soga,anaongea kama ndugai
   
 3. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huyu Kibwana nimekuwa nikimsikiliza sana anapoitwa Magic Fm. Akijifanya kujua data zake za uongo. Kuna siku alisema Kigwangwala sio daktari sababu tu alizungumzia madai ya madaktari.
  Ukweli ukadhihirika kuwa ni daktari, alidanganya umma kupitia Magic Fm. Bila shaka huyu magamba pure.
   
 4. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  huyu Kibwana ndi nani?
   
 5. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huyu Kibwana ni yule anayeitwa studio ya Magic kipindi cha X-ray kuanzia saa mbili asubuhi. Magic Fm wana vipindi vizuri sana mida hiyo.
  Ajabu huyu Kibwana anaharibu kabisa. Jaribu kufuatilia Magic Fm kila siku za wiki asubuhi, utamsikia.
   
 6. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Hilo ni vuvuzela la magamba & co.
   
 7. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Magamba wamefanikiwa kupandikiza mamluki kila kona. Huyu sasa ni Super Kibonde, Kibonde mropokaji wa Clouds Fm.
   
 8. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,321
  Likes Received: 6,672
  Trophy Points: 280
  mkuu hii avatar ulikuwa unashangilia baada ya kupiga au ulikuwa unasubiri kupiga kitu kilichokusumbua siku nyingi!!!!maana naona uko chumbani !
   
 9. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  yawezekana akaanza kuharibu ila bado jamaa ni icon wa news. Inategemea pia fikra zako zinapenda kusikia nini.
   
 10. Asango

  Asango JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kibonde lazima aropoke kutokana na ulajia alioupata tbc so anaogopa yasije yakampata ya tido,ila maadili ya taaluma hii ya habari yameingiliwa na siasa
   
 11. Magogwajr

  Magogwajr JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kumfananisha kibwana dachi na kibonde ni upuuzi wa hali ya juu! shame on u!!!!!
   
Loading...