Hivi ni kweli kuna madaktari waliosain kurudi kazini halafu hawafanyi kazi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kweli kuna madaktari waliosain kurudi kazini halafu hawafanyi kazi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtu wa Mungu, Jan 31, 2012.

 1. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Zipo taarifa nyingi kiasi cha kutukanganya wananchi tunaoumia kutokana na mgomo wa madaktari!!! Ziko habari kwamba baadhi ya madaktari wanaendelea na mgomo wakati zipo habari kwamba wengine wamesaini kurudi kazini kuitikia agizo la waziri mkuu lakini baada ya kuaini wanaingia mitini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  Kama wapo wa namna hii ya kuingia mitini basi hawa mimi nawaita wanafiki na wasaliti wa taifa hili.
  Mimi na watanzania wengine tunaamini kwamba madaktari kama wasomi na highest profession nchini wana haki kudai haki kwa taratibu zinazolindwa na katiba na sheria; na kwa vile wamekwishafikia hatua ya mgomo hivi sasa ni kama askari ambao wako kwenye uwanja wa vita!!!!!!!!!!! Sasa kama kuna wengine ambao ni wanafiki kijeshi hawa nia wa kuuawa. Ni wabaya kuliko!!!!!!!!!!!!!
  Lakini mwenye habari atujuze hii habari ni kweli au propaganda za wasiowatakia madaktari mema wakati huu wa mapambano?????????????:A S 465::juggle::photo::lol:
   
 2. S

  Senator p JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kwel mfano hospital ya wilaya ya nzega,na sio 2 kusain ila kuna wauguz na baadh ya madaktar wanauza dawa za wagonjwa kwa mgonjwa huyohuyo alyekuja nayo,
  nilkua nzega juz kabla ya kurud nymbn kwe2
   
 3. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Popote walipo watu wa namna hii watambulike kama wasaliti, siyo wa taaluma yao bali na hata wananchi ambao wanawadanganya!!!!!!!!! Ni wanafiki wa hali ya juu. Hapa ni kuchagua kugoma hadi kieleweke ama kurudi kufanya kazi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 4. Atabase Agaya

  Atabase Agaya Senior Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mmh! Mguu mmoja ndani, mguu mwingine nje.
   
Loading...