Bora lilivyokuwa swala la Afya sio la Muungano,ukatili huu kwa madaktari tungalishindwa kuvumilia

Feb 1, 2012
16
2
Sifa kuu za kuwa dokta
i)Uvumilivu
2)Upendo
3)Huruma
4)udugu

Kwa bahati nzuri licha ya Migogoro na hali ya chumi wa madakatari waliokuwepo Zanzibar sio nzuri, lkn hawajafikia kufanya vituko hivyi.
Posho: Hivi unaweza kupoteza maisha ya watu kwa sababu ya Posho.
jee walimu waliowasemesha wao wangaligoma jee wangalipata elimu wanayoringia wao?
 
Angalia kichwa cha habari! ukatili huu kwa madaktari! husisha habari na kichwa!!! Anayefanyiwa ukatili ni nani? Katika kichwa inaonesha madaktari ndio wanaofanyiwa ukatili!!! nami nakubaliana na kichwa lakini siyo habari yako!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom