Hii ya nbc-bank kufungia account za wateja bila taharifa imekaaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ya nbc-bank kufungia account za wateja bila taharifa imekaaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CPA, Jan 17, 2012.

 1. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 734
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Kuanzia wiki iliyopita, watu wengi wamejikuta wamepigwa na butwa kwenye atm, ukiingiza atm card, atm machine inakujibu change status, na wengi wao ni wale wanaotumia card mpya (nbc master card) Ukienda bank ndan wanakujibu account imefungwa wana update customers detail, wanakupa form ya kujaza na kwenda mahakaman au kwa mwana sheria na barua ya kwenda serikali ya mtaa. Sasa 1.walipokuwa wanabadilisha card mpya, nbc master card, kwa nini wasingesema moja ya masharti ni hayo.
  2. Kwenye form ile ya kubadilisha card tulijaza namba za simu, kwanin wasinge/wasipige simu kujulisha hayo mahitaji/mabadiliko, badala ya kufunga a/c. Bank kwenyewe folen kubwa, mlolongo mrefu. Sasa nini maana ya kujaza namba za simu au email address? Wameshindwa hata kutuma msg. Na mbaya zaid ili zoez limeanza kipindi cha mishahara! Kwa hili nbc mbadilike!
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wanaanza ulevi kwa kuwa na wamepata wateja wengi labda si unajua mbongo akipata ****** hulia mbata!!?
   
 3. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Bank nzuri ni Barclays tu nchini zingine ni za walalahoi na huduma kwa wateja ni mbaya sana utadhani ni benki zinazogawa fedha bure na mteja kwao ni mfungwa, hata AC au benchi la wateja hamna, maji ya kunywa hamna.

  Tubadilike jamani. Nendeni fungueni account Barclays Bank popote ulipo na utapata ATM card unayoweza kutoa na kuweka fedha popote nchini na nje ya nchi. Barclays utapata maji, chai, kahawa, maziwa kwa wateja, lugha nzuri, customer care iliyo bora kabisa na hamna kuzungusha wateja. Sofa za kukalia wageni na AC. Kwao mteja ni mfalme, na siyo NBISII, NMBII, CRDBII, nk. hovyo kabisa.
   
 4. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 734
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Tatizo ni waajiri, wanapokuajiri, wanakupa sharti kufungua a/c kwenye bank ambayo kampuni/shirika wana account yao ipo. Mfn serikali taasisi nyingi wanatumia nmb, ukiwa na a/c nje ya bank wanayotumia mshahara kuja kupata ni baada ya wiki 2, wenzia wakaribia kupata mwingine we hata bado kwenye ac yako, haijaingia
   
 5. S

  Skype JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Jamani mi naona benki kama crdb ni kimeo zaidi maana jana nilitaka kutoa pesa mida ya saa11 jion ktk atm ya pale mabibo hostel atm ikagoma, nikaenda ubungo napo hola, nikaenda azikiwe nako hola, nikajaribu kutumia atm za benki zingine master card inagoma, yaani kero juu ya kero hadi saa2 usiku ndo tukafanikiwa. CRDB HOPELESS KABISA.
   
 6. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,647
  Trophy Points: 280
  mh! Wewe ni mrongo! Nbc is the best.
   
 7. b

  bwakea Member

  #7
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa nbc vp? Vp mbona wanafunga account bila taharifa
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Huo ujinga wameuanza lini?ila naipenda sana nbc.
   
 9. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  mi nimeshawahama wehu sana hawa jamaa wameniudhi mno
   
 10. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hakuna cha urongo mkuu, Barclays bank huduma zao ziko poa sana. Hakuna longo longo kama hizi zinazolalamikiwa hapa.
   
Loading...