Masuala 8 muhimu kuhusu umeme

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
1.Hakuna mkakati wa dharura wa kuondoa tatizo siku za karibuni

2.Serikali haijatambua Athari kubwa zinazosababishwa na Mgao

3.Miez SITA ya mgao yaweza kuharibu uchumi wa miaka KUMI

4.Miradi mikubwa ya gesi haina uhakika wa kutekelezeka

5.Maelfu ya wananchi watajikuta wakipoteza ajira Viwandan

6.Biashara ndogondogo na zile za kati nazo kuathirika zaidi

7.Mapato ya Serikali kupitia mamlaka zake yaanza kupungua

8.Viongozi wa juu wanaogopa kulisimamia kuogopa Kashfa

the end.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Back
Top Bottom