Kumbe Serikali Tanzania ina pesa!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe Serikali Tanzania ina pesa!!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mizambwa, Feb 1, 2012.

 1. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Rais J.K ametoa ahadi ya kugharamia ujenzi wa mahakama ya Haki za Biadamu Afrika Mashariki (ACHPR). Rais amesema kuwa Mahakama hii inabidi iwe na hali bora na majengo mazuri kwani itafanya kazi kama zile za ICC.

  My Comments:
  Kumbe Tanzania tuna uwezo, hivyo wote wanaoibeza nchi yetu kuwa ina hali mbaya kiuchumi ni uzushi tu katika kuiharibia sifa nchi yetu.


  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
Loading...