Ipo siku WABUNGE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ipo siku WABUNGE

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by che wa Tz, Jan 31, 2012.

 1. che wa Tz

  che wa Tz JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Huko tuendako kuna siku WABUNGE wataapa kwa
  kushika burungutu la PESA badala ya BIBLE ama QURAN"...............let wait and see
   
 2. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hii itakuwa kufuru kubwa ambayo hata watoto wetu hawataikubali.
   
 3. W

  Wazakwanza New Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii kali, ila inafanana na ukweli kwa jinsi mambo yao yanavyoenda.

   
 4. monongo

  monongo JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  wabunge wa ccm karibu woote watakufa,baada ya muda si mrefu,kwani wamekubali kutoa dhabihu au kafara maisha ya wananchi wa Tanganyika.Mungu uwaone hao,maana kisasi chako kinakuja taratibu
   
 5. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,132
  Likes Received: 3,318
  Trophy Points: 280
  Ha ha! Wabunge ni mafisadi.
   
 6. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  wajumuishe Joseph Selasini na Shibuda, miksa Khalifa A. Khalifa...
   
 7. che wa Tz

  che wa Tz JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mkulo leo kajitia hakusikia swali la kuhusu fedha za rada kwenda kwenye ununuzi wa madawati, hii nadhani swali lilimchefua coz yeye anafikiri watazitafuna vp, Halafu mbunge analeta kiherehere cha madawati
   
Loading...