Saa 48 za Pasco zimeisha tunatoa saa 24 za nyongeza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saa 48 za Pasco zimeisha tunatoa saa 24 za nyongeza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtu Mzima, Jan 31, 2012.

 1. Mtu Mzima

  Mtu Mzima JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kama mmesahau zile saa 48 mlizotoa na PM wenu zimeisha, Jumatatu hatujatia timu kazini kama mlivyoagiza, leo ni Jumanne, propaganda zote kupitia vyombo vya habari zimeshindwa na zitaendelea kushindwa na nyie wote mtalegea kwa jina la Yesu.

  Kama bado mnayo huruma hata kidogo kiasi cha chembe ya haradali kubalini yaishe, tekelezeni madai ya msingi muokoe maisha ya ndugu zetu.

  Kama bado mnaendekeza kiburi hamishieni Hospitali ya Apolo toka India ije Dar maana kelele za kusema wanajeshi watakuja kutoa huduma naona imeshindikana.

  Lakini msisahau kuna sunami nyingine iko chini kwa chini yaja...
   
 2. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  kidumu chama changu
  .........@d
   
 3. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Duh Mkuu unaongelea nini mbona nimesjituka sana .Umejawa na hasira sana bwana mganga tafadhali rejea uandike kwaumakini tupe ujumbe .Enhee unasema kwamba........................................
   
 4. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Yes, Huu ndiyo wakati wa kuwapima viongozi wetu kama kweli ni viongozi au watawala, PM akiliweza hili saga, basi hata Urais 2015 apewe. Hii ni ngoma nzito, inahitaji hekima si UWT
   
 5. M

  Mwanyava JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ngoja siku na jeshi liseme NO ... Serikali itashika adabu.
  Kama serikali haina huruma na wanachi wake ... Mapambano na yaendelee!!!
   
 6. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Vijana walamba viatu dizaini ya Pasco wanakera sana yaani mtu anaongeea kama msemaji wa Magogoni, Vijana eeeh tusiwe waosha vinywa wa viongozi wawe wa magamba au wa upinzani otherwise WATAALAMU wetu wataendelea kuwa WATUMWA kwa WANASIASA. Uzalendo si kuosha kinywa.........
   
 7. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Pasco akili yake haiendani na ukubwa wa jina lake
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kumbe anajina kubwa????
   
 9. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Pasco ni kigeugeu ,huo ikigeugeu ndo unamweka mjini.
   
 10. k

  kiche JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nimeanza kuwakubali mkuu,hatua ya kusaini na kula kona au kukaa bila kazi hapa sijui watafanya nini,na kitendo cha wauguzi kuwakataa wanajeshi nalo ni pigo!!kweli mlijipanga,viongozi wetu wanashindwa hata kutumia methali/nahau za mababu zetu mfano uwezi kumlazimisha ng'ombe kunywa maji,unaweza kumpeleka mtoni akakojoa na kuondoka,mimi uwa ni kichwa ila utatuzi wa hapa kama ningekuwa kiongozi bado sijaupata.
   
 11. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  PM aliiweka pabaya serikali yake kuajili ya mazungumzo ya amani kiasi kwamba amefunga njia za mashauriano kuendelea mi naona ili jambo hili liishe vizuri ni bora Madaktari wetu wapunguze jaziba waombe kukutana na Rais wetu ili kuyatafutia ufumbuzi haya matatizo

  Jamani tusiseme kwa sababu hatujaugua/kuuguliwa CHONDE CHONDE MADAKTARI PUNGUZEZENI JAZBA
   
 12. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mkuu unatutisha sana. Haya yanayotokea ni makubwa, sasa sunami tena? Ebu fafanua kidogo tusiojua tuielewe hiyo sumani ni nini hasa
   
 13. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Nimatunda ya kutofikiri.acha wayaone.
   
 14. N

  Nyamizi JF-Expert Member

  #14
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 1,401
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Wee Pasco,njoo sasa na analysis zako, tunaelekea masaa 60! Ulidhani unawatisha Madaktari,sasa na manesi wamegoma rasmi,mwambie PM atoe summary dismassal kama ni rahisi ki hivyo.
   
 15. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #15
  Jan 31, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  MADAKTARI NIMEWAVULIA KOFIA MKO JUU KOMAENI MONYESHE NJIA,WALIMU HAWANA MPANGO WAKIGOMA SIKU MOJA KESHO YAKE WANARUDI KWA VISENTI VICHAChE
   
 16. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #16
  Jan 31, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,766
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  jeshi lipi mkuu hili la ufisadi wa trilion za shilingi au jingine???
   
 17. Mtu Mzima

  Mtu Mzima JF-Expert Member

  #17
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nimegoma hata kukujibu...
   
 18. A

  August JF-Expert Member

  #18
  Jan 31, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,509
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  walio mtuma wamejificha chooni, sasa yeye akawafuata huko, kuwatoa wamegoma, sasa yeye ndio ametuletea thread nyingine kwamba serikali inataka kuanza mazungunzo upya na madaktari
   
 19. 2mbaku

  2mbaku JF-Expert Member

  #19
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 317
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  PM Kafyata mkia, lets wait wenye posho zao watasema nini kesho.
   
 20. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #20
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 3,336
  Trophy Points: 280
  Who is Pasco??
   
Loading...