nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,273
- 3,750
Wadau naomba kujua jambo hili ambalo linaitesa akili yangu pamoja watanzania wenzagu. Hapa kwetu Tanzania tuna Raisi, makamu raisi na waziri mkuu.
Wanasema waziri mkuu ni mtendaji mkuu wa serikali inamaana yeye ndio ana sauti lakini hili naliota tofauti maana raisi ndiye mwenye kauli ya mwisho. Sijawahi kusikia nchi yenye raisi mtendaji halafu ina waziri mtendaji
Je kwetu sisi Tanzania ni sahihi kuwa hiki cheo?