waziri wa afya afanya ziara muhimbili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

waziri wa afya afanya ziara muhimbili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jackbauer, Jan 31, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  wakati mgomo wa madaktari na wauguzi ukiendelea,waziri wa afya ametembelea hospitali ya taifa muhimbili.mara baada ya kufika baadhi ya wagonjwa walipelekwa kwenye mabenchi na kuanza kupigwa picha.kwa upande wa MOI na EMD hali bado ni mbaya,mfano profesa ambaye ni mkuu wa kitengo cha wagonjwa wa dharura alionekana akifanya kazi peke yake.naendelea kutafuta taarifa zaidi kutoka sources zangu zilizosambaa nchi nzima.
   
 2. MANI

  MANI Platinum Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Sarungi wakati wake alikuwa anaingia kazini hali ikibidi naye afanye hivyo!
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  sio dokta.
   
 4. K

  KIZIWANDA Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio vizuri kukejeli watu wa kifa inauma sana
   
 5. N

  Nguto JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,653
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Alikuwa wapi siku zote?
   
Loading...