MI binafsi sioni umuhimu bunge zaidi ya kutafuna fedha za walipa kodi,sijaona mbunge ayewakilisha maoni(shida}ya wananchi.wengi wao maslai yao kwanza,pili chama chake,mwishon ndo wananchi,nakubali...
Ukiangalia hali ya maisha ya mtanzania wa kawaida kwa kweli ni mabaya sana na yanatisha. Yanatisha zaidi unaposikia kwamba kunawengine wanajiongezea kama posho za waheshimiwa wabunge. Inawapasa...
Hivi jamani nakumbuka bunge lilibadilika kabisa those days gafla watu wakapewa uongozi na wengine
kutokomea kabisa huku wakipewa dozi za kumomonyoka ngozi
kuna huyumama yuko wapi sikuhizi aka eng...
Nimeshangaa sana huyu Katibu Mkuu wa Chama Kigumu akiwaita waandishi eti kutoa tamko la UVCCM kuhusu mgomo wa madaktari wakati chama chake kimeshatoa tamko..........
Tena anaongea kwa body...
yani inasikitisha utakuta jitu limemaliza mihula yote miwili ya uongozi wa nchi lkn alijawafanyia kitu chochote wananchi hafu bado ling'ang'aniza mahakama iunde sheria ya kulifanya eti ligombee...
Pamoja na kujulikana kwake,jina la Harrison Mwakyembe lilipata umaarufu zaidi mwanzoni mwa mwaka 2008 aliposoma taarifa ya kamati ya bunge iliyochunguza mchakato wa zabuni ya kufua umeme wa...
Nimesikiliza vyombo vya habari vya kimataifa kama BBC na Deustch Velle,jamani hali ta Hospitali ya Taifa ni mbaya!Baadhi ya wagonjwa waliohojiwa wameelezea hali katika wodi hospitalini hapo ni...
Kwa kipindi kirefu sana wananchi wamekua wakilalamikia safari za Rais Kikwete kwenda nchi za nje kwamba ni upotevu wa fedha za walipa kodi. Kwa upande wa pili Serikali imekuwa ikiiwaambia wananchi...
Niko huku kwa siku kadhaa kwa ajili ya AFCON (wakati mwingine Gabon)
Tukiacha yoote mengine, kuna kitu nimekinote cha tofauti, kama sisi, wao wana bara na visiwani (Rio Muni na Bioko) ingawa sijui...
Leo nilikua Muhimbili kwa kweli watanzania wenzangu hali ni mbaya mno,mefikia mpaka hata wagonjwa wenyewe wamekata tamaha kwenda kutibia kwenye hospital hii kuu ya tanzania,wodi zote zipo...
Ndugu wana JF, napenda kushiriki nanyi ili kujua namna ambavyo TANESCO wanavyofanya kazi.
Kwa mtizamo wangu, naona kama vile hili shirika halina uzalendo na wala moyo wa kuwezesha maendeleo ya...
Marina njelekela akiri ma dk wa jeshini awana uwezo wa kutibu idadi ya wagonjwa waliopo
wamepanga list ya watu 5 ma dk bingwa wakijiandaa kwenda kwa waziri mkuu katika hilo kundi
kichekesho...
Habari wana Jf wenzangu.
Mwenzenu nimeamua kufunguka baada ya kuona maji yananifika shingoni. Kila mtu anajua umuhimu wa mawasiliano hasa ya simu katika dunia yetu ya leo. Leo kero yangu...
Wabunge wanataka posho za laki mbili kwa sasa wanalipwa elfu sabini, Madaktari wanalipwa posho elfu kumi, walimu wao wapowapo tu hawalipwi wanalipwa! Nao wanatakiwa labda walipwe kiasi gani?
kumekuwa na lawama nyingi ka madktari na hata walimu tunasema kazi zao ni wito nk nk, je wana siasa au kuwa kiongozi si shughuli ya wito, na je hawa li kiapo wa kutenda haki?
Hivi huyu mzee hanaga kwao kutwa kukaa hapa mjini nakufanya ufisadi na kuendeleza siasa za ujamaa wakati ni mnyonyaji. Kawaida wazee wakisha staafu wanaenda vijijini kwao kupumzika na wanaachana...
01 FEBRUARY 2012
Na Andrew Ignas.
MBUNGE wa jimbo la Kigamboni kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM)Bw.Faustine Ndugulile ametishia kusitisha mradi wa Kigamboni kama serikali itashindwa...
Hakika umeme umeshakuwa kuwa janga kubwa kama la mafuriko,tena janga la makusudi na uzembe.Nchi isiokuwa na huruma.
Leo tareh 1,ukinunua umeme wa 5000 unapata unit 1.
Wa 10000 unit 19.7.
Sasa...
MH WAZIRI MKUU EMBU KAPIGE RANGI NYUMBA BANA USITUMIE UCHAKAVU WA NYUMBA YA WAZAZI WETU UKIONDOKA UDAI UKUCHUKUA KITU SIO SOLN BANA WENGINE TUNAPATA KIDOGO TUNATENGENEZA KWETU KIJIJINI NINI WEWE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.